Docomo Samsung galaxy note edge model number SC-01G

Plan Radeem King

Senior Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
198
Reaction score
127
Wakuu ningependa kufaham kuhusu simu tajwa hapo juu, maana nina best friend wangu amenipatia but kila ninapo jaribu kufanya inside FACTORY RESET inakataa.

Pia nimejaribu kufanya SYSTEM UPDATE but kwenye process za installation nakutana na ERROR!

Simu ina 4.4.4 (kit kat) Operating System (OS)

Natanguliza shukrani

KARIBUNI SANA WAKUU
gsmarena_002-1.jpg
 
Kufanya factory reset kama ameweka password au pattern haiwezi kubali mpaka uruhusu kwa kuweka hizo pattern au password. Kuhusu hiyo system update lazima data iwe on ningeiona simu ningejua shida nini ila kuna wataalamu humu nawaheshimu kwa michango yao kina chief watakusaidia zaidi
 
Mkuu SYSTEM UPDATE nafanikiwa ku DOWNLOAD but inapoanza process za installation ndo ERROR inakuja

FACTORY RESET ina fail ktk hatua ya mwisho pia, wakati nimeshaweka password

Na Je ni note edge zote zinapo waka neno COMODO hutokea?
 
Hiyo simu imewekwa ROM ya mtandao wa simu wa India wa DOCOMO, ndiyo maana ukiiwasha au kuzima inatokea logo ya DOCOMO.
Simu zilizowekewa ROM ya mitandao ya simu zinasumbua sana, huwa zinakataa vitu vingi, zinakataa Tanzanian 4G network bands, low internet speed, weak network signals e.t.c.
Nilikuwa na simu ya Nokia X6, yenyewe iliwekwa ROM ya mtandao wa T-Mobile wa USA, ukiiwasha au kuizima inatokea logo ya T-Mobile, ilikuwa haikubali vitu vingi kwa sababu ya ROM ya T-Mobile. Nikatatua hilo tatizo kwa kuweka official ROM ya Nokia.
Kufuta hiyo logo ya DOCOMO dawa kuweka ROM nyingine tu.
Hiyo logo unayosema ya DOCOMO, hiyo ni kwako tu, siyo kwa samsung zote, badilisha ROM, itatoka kabisa.
 
huo ni mtandao wa japan unaitwa DoCOMO hivyo huwezi update kwa OTA mpaka uwe Japan. hapo itabidi ufanye update manual na odin kwa kudownload firmware mwenyewe.
 
Thanks mkuu nimekuelewa vizuri sana
 
huo ni mtandao wa japan unaitwa DoCOMO hivyo huwezi update kwa OTA mpaka uwe Japan. hapo itabidi ufanye update manual na odin kwa kudownload firmware mwenyewe.
Mkuu kuna kitu kimenitokea tena ktk hiyo simu

Nimejaribu kufanya HARD RESET Imekubali but kuna vitu vingi simu haina, kama alivyosema mkuu hapo juu.
Baada ya kama masaa mawili simu ikajizima, nikiiwasha inakuwa kama ina brick na kuzima, inaendelea kufanya hivyo hivyo hadi nitoe betri.

Mkuu Hebu nisaidie hapo
 
tatizo la hii mitandao ya kibepari wana roho mbaya sana mkuu. kuna vimitego vingi vingi wanaweka kwenye simu zao ku restrict hasa kwa wale wanaotumia nje ya mitandao yao.

rudi ulipofanya hard reset then clear vyote, data na cache na kama kuna dalvik cache pia clear uone kama itawaka. ikikataa tafuta pc uiflash na odin, hakikisha unadownload firmware ya hio model ulioitaja.
 
Nimejaribu kwa hard reset kama ulivyosema but hai respond zaidi ya kuendelea ku brick tu

Je, kuna uwezekano wa ku flash na kuweka rom ya Samsung ya aina hii ya simu?
 
Docomo kampuni la wajapan sijui hata kama simu yako ina netwek
 
Back
Top Bottom