Do you want the cancer?

which kind of cancer?
Haujamsoma vizuri wewe!
Rudia tena upate uhondo wa huu ujumbe PingPong.
Ujumbe upo kwenye matamshi... can Sir na Cancer ... unapotamka haya maneno kujua anasema nini ni ngumu?!
 
Prostate Cancer.

You must be MADooh!
Hapo hawaulizii saratani gani? Ni mchanganyo tu wa matamshi...
Muhudumu anamuuliza mteja wake ka atapenda ampatie kopo la kinywaji?!
We unakaa kulizia cancer gani?!
Basi tukupe saratani ya mipira yako!
 
Haujamsoma vizuri wewe!
Rudia tena upate uhondo wa huu ujumbe PingPong.
Ujumbe upo kwenye matamshi... can Sir na Cancer ... unapotamka haya maneno kujua anasema nini ni ngumu?!

mkuu nilimpata, ila awali ukiwa hujui anamaanisha nini unaweza kumuuliza maswali ya kizushi ili muwekane sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…