Sio siri kuwa kuna watu wa asili ya Kitusi ambao baba zao walikuja siku nyingi kama wakimbizi na kuishi sehemu za mikoa wa Tabora na Kagera na sasa wana nyadhifa kubwa kwenye serikali yetu. Wengine ndio hao uraia wao ulileta utata enzi ya Mkapa na wengine walipewa ubalozi na Kagame mara alipoingia madarakani na wengine ndio wakina Kamanzi na Rutayisire waliokuwa waalimu IFM na UDSM respectively; baada ya Kagame kuingia madarakani wakatoroka na kurudi kwao!! Sasa kama watu wa usalama wa Taifa wangekuwa wanafanya kazi yao vizuri wangeweza kuwatambua hao watu walioinfiltrate serikali kwani inasemekana wapo mpaka kwenye baraza la mawaziri not to mention mashirika nyeti kama EWURA!! Hiyo ndiyo strategy ya kufanikisha BAHIMA empire!!
Hii stori, iko karibu kama wakongo fulani rafiki zangu walivyonisimulia, Lakini wao walikuwa wanasema Tz ndo imemsimika kabila na wanasema kabila ni mtanzania. Hapo ndo kuna kazi.
Kuhusu abanyarwanda. Pia inabidi kutoisahau historia yani ya kwamba hadi mwaka 1920 tanganyika, rwanda na burundi ilikua nchi moja, na ndio maana ukiangalia kwa makini hawa jamaa kwa namna moja ama nyingine tuko nao karibu nao sana hatuna mawaaaaa nao kama nchi zingine.
Mkuu nakubaliana na point kwamba hawa Rwanda na Burundi tuko karibu sana nao na ni wenzetu kwa sababu miaka hiyo ya 1920 sote ilikuwa ni nchi moja. Kilichokuja kuharibu ni wafaransa ambao walipandikiza ukabila kwa wenzetu na hivyo wakaanza kuchukiana.
Lakini kuhusu Joseph Kabila, kuna ukweli kwamba yeye siyo mkongo na ni kweli kwa sababu baba yake siyo LD kabila. Mgogoro wa DRC kwa sasa hauta kwisha kwa sababu unakuwa engineered na Rwanda kupitia UN ili kuwazuia waasi wa kihutu walioko kongo wasirudi kuipindua serikali ya Kigali. UN na US wanajua hilo na baadaye ni kwamba mashariki ya DRC kutakuwepo na eneo huru ambalo litakuwa chini ya uangalizi wa UN lakini litakaliwa na wanyarwanda.
Mkuu nawakirisha hoja!
Pamoja na yote wanayozungumza ktk pdf hiyo, yawezekana ukweli na wakatia vichorombwezo ambavyo vinaifanya documents isiwe sahihi mbele ya wachambuzi. (Nirekebishe kama nitakua nimekosea) Josee hata alipokua ujanani TZ pia alikuwa anajulikana kwa jina la Josee , tofauti na pdf ilivyoainisha. Pili Josee amechukua mafunzo ya jeshi nchini TZ ktk jeshi letu la jwtz kama sikosei ni kule mbeya. Sasa ukiunganisha hizo doti na jinsi mwandishi alivyoandika historia yake inaonekana ni uongo hata kama alikua anaelezea ukweli.
Mkuu nawakirisha hoja!
Pamoja na yote wanayozungumza ktk pdf hiyo, yawezekana ukweli na wakatia vichorombwezo ambavyo vinaifanya documents isiwe sahihi mbele ya wachambuzi. (Nirekebishe kama nitakua nimekosea) Josee hata alipokua ujanani TZ pia alikuwa anajulikana kwa jina la Josee , tofauti na pdf ilivyoainisha. Pili Josee amechukua mafunzo ya jeshi nchini TZ ktk jeshi letu la jwtz kama sikosei ni kule mbeya. Sasa ukiunganisha hizo doti na jinsi mwandishi alivyoandika historia yake inaonekana ni uongo hata kama alikua anaelezea ukweli.
PDF kama hizo zipo nyingi sana mtandaoni. Hiyo ni kazi wanayoifanya wapinzani wa Kabila junior, na ni yaleyale ya kifo cha mfa maji. Hakuna zaidi.:yuck:
You couldn't have put it better.OK, vizuri. Your humility is charming and shows a backhanded intelligence that was much veiled in your original post. If indeed it is humility and eminence I am seeing.
Let me break it down for you.
Nilichosema ni kwamba, kuna uvumi usio msingi kwamba kuna Watutsi wanataka kutawala Afrika mashariki na kati, uvumi huu ndiyo msingi wa "Hima Empire theory" ambayo inasema Kagame na Museveni ndio viongozi walio implement hii plan, na hata katika serikali ya Tanzania kuna Watutsi wanaotaka kutekeleza hii plan.Nimesema huu ni uvumi usio msingi, kama uvumi uliopelekea kuuawa kwa wayahudi kwa kutumia kijitabu cha uongo cha "The Protocols of The Elders of Zion" ambacho Hitler alikitumia kama propaganda ya chuki dhidi ya Wayahudi kabla ya kuwaua.
Nilichosema ni kwamba, tuyachambue mambo kiundani ili tusirudie makosa waliyoyafanya Wajerumani ya kukubali propaganda za kisiasa bila kuzichambua.
In fact, nilichosema ni quite the opposite ya wanachoelewa watu wengine.Wengine - kama wewe- wanaelewa kwamba nimesema kuna Watutsi katika serikali ya Tanzania wanaotaka kuichukua serikali. mimi nimesema kuna uvumi usio msingi, unaoendana na Hima Emipre theory na "The Protocols of The Elders of Zion" ili kuwafanya Watutsi waonekana wana empire ambitions.
Sasa mtu ukiwa huelkewi Hima Empire ni nini, kwa nini nimeita Hima Empire theory kama uvumi, kwa nini nimetoa hiyo link ya Allafrica.com inayomquote Museveni aki dismiss Hima Empire rumors, ukiwa hujui "The Protocols of The Elders of Zion" ni nini na ilichangiaje kuuawa kwa Wayahudi, ukiwa huelewi role ya propaganda katika mauaji ya halaiki ya Rwanda, unaweza kusoma kisentensi kimoja, kuki misinterpret, na kuona tofauti na kilichosemwa.
Sikatai kwamba hiki kijibooklet kinaweza kuwa na ukweli, lakini aliyekiandika inabidi atuletee a more concrete case than this hodgepodge of incredible propaganda.
Nilivyokuwa sekondari, years ago, nilikuwa mpenzi wa vitabu vya James Hadley Chase. Kuna kimoja kinaitwa "Believe this, you will believe anything"
It is inevitable that part of this document carries some truth.Mtu hawezi kuandika out and out falsehoods like that. Lakini pia hii ni document ya kisiasa, wapinzani wa Kabila wa kisiasa wameiandika, kwa hiyo inabidi tujue ukweli uko wapi na propaganda zilizo subject to interpretation ziko wapi na uongo uko wapi.
Kwa wale wanaotaka kulimeza pdf lote kama gospel truth, nawaambia kama alivyosema Chase.
Believe this, you will believe anything.
You couldn't have put it better.
Tafadhari waelimishe maana ni wengi sana wenye imani za conspiracy theories za hima tutsi empire. Unakuta mtu amesoma lakini anaishi kama mshirikina, mpiga ramli kwa kuamini kitu cha kufikirika..kwa kweli wajinga ni wengi hii nchi. Wana makaratasi kwamba ni degree lakini upstairs hakuna kitu..msomi yeyoye lazima ufanye jitihada za kujua mazingira yanayokuzunguka.
Mkuu secret societies DO EXIST..usikatae, na habari zake si rahisi kuzipata ktk public domain ndio maana zinaitwa secret societies, ni exclusive kwa watu au makundi fulani tu. Ni vema kuwa open-minded badala ya kuwa media junky wa Corporate Media.
Mi nadhani sio lazima sana hiyo doc iwe inakava 'kila kitu'..Kitu muhimu ni kuangalia ishu yenyewe inayoongelewa kama ni kweli tunaweza kufix mambo fulanifulani kuwa ni facts na zipi sio facts, hata kwa kutumia sources nyingine.Tatizo si kwamba tunakataa secret societies hazipo, tatizo kiPDF hakijatoa a coherent and informed case.
Kati ya anayekubali kila kitu anachoona kwenye pdf kama ukweli, na anayeuliza maswali yanayojibu maswali yatakayoulizwa kuhusu hayo maswali nani ana papara?
Umeona humility yangu hapo juu? Umeona doubt yangu hapo juu? Umeona uncertainty yangu hapo juu? Umeona probing yangu hapo juu?
Mbona wewe unakuwa arrogant sana? Mbona wewe unakuwa sure sana? Mbona wewe unakuwa certain sana? Mbona wewe unakuwa trusting sana?
Hebu Juxtapose the two, halafu fikiri tena.
Sijasema kwamba Kabila malaika. Ninasema muandishi wa hiki ki booklet inabidi afanye kazi ya ziada kunifanya nimuamini, ama sivyo nitaona na yeye anatumia Machiavellian propaganda tu.