DO YOU DRINK WINE?

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
1,698
1,257
Stop drinking only water, and use a little wine because of your stomach and your frequent illnesses.1 Timothy 5:23, New International Version (NIV)

My dears, as we start our blessed new year, I'm reminding you of taking into consideration the quoted bible verse above for your own health and welfare.

That's how I want you start the year.

I like and drink wine, particularly red wine.
Tupige mvinyo.
Tchao.
 
Pia inasidia kwenye ishu ya digestion na kukuepusha na maradhi kama ya cancer ya tumbo. Unashauliwa angalau kunywa glass moja ya wine kwa siku
 
Mimi mwenzoni wine naitumia kwenye kula na changanya na chakula kinakata mafuta,chumvi,pia unakula chakula kwa furaha kubwa sana jaribuni then mnipee mrejesho
 
Mimi mwenzoni wine naitumia kwenye kula na changanya na chakula kinakata mafuta,chumvi,pia unakula chakula kwa furaha kubwa sana jaribuni then mnipee mrejesho
Mmh! Hii inataka moyo
 
1Timotheo5:23- Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara
 
Stop drinking only water, and use a little wine because of your stomach and your frequent illnesses.1 Timothy 5:23, New International Version (NIV)

My dears, as we start our blessed new year, I'm reminding you of taking into consideration the quoted bible verse above for your own health and welfare.

That's how I want you start the year.

I like and drink wine, particularly red wine.
Tupige mvinyo.
Tchao.
I like red dry wine
Aaah pamoja mkuu. Hery ya mwaka mpya
 
Walevi mnafarijiana. Anyways, msiyachoshe maini yenu kwa kufanya kazi ya kuondoa -H kila siku.
 
Jaribuni jamani kweli msosi poa kbsaaa tena wine zuri ile ya kanisani weeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom