Hahahaha SirConsult your class notes
Mkuu mtoa maada, ni kweli swali lako bado lina leta utata sana si hapa Tanzania bali katika nchi ambazo viongozi wao wanapenda siasa kuliko taaluma. Nakumbuka Obama alipo ingia madaraka ali-introduce kityu kilicho kuwa kinaitwa IT dashboard. Kilikuwa kitatoa mwelekeo wa mambo ya serikali yake kwa wanainchi wa marekani.
.......
.Kwa kweli kamanda umechambua vizuri sana hii issue kungekuwa na uwezo wa kutoa thanks 20 ningekupa Sasa tuendeleena mjadala.
Nimepata swali hili sababu najiuliza kwa nini bado taasisi kubwa tena zenye fedha na Mifumo mizuri ya kompyuta bado unakuta zinafanya maamuzi mabovu amabyo ni obvius.
Mfano Najiuliza je Tume ya kubinasfisha mashirika ya umma wanayo hata simple IS ya kuwasidiia kufiltter out wawekezaji wababaishaji. Maana uzur wa system inaweza kuweka viegzo na indicators amabzoo kichwa cha binadamu kinaweza kisikumbuke wakati huo.
- Je inawezekana strategic decision makers wanapata info in a form amabyo sio helpful kuwasaidia kufanya maamuzi sahihi
Hasa hasa nilitaka kujua kama kuna any form of DSS katika govermnet parastals
Mkuu mtoa maada, ni kweli swali lako bado lina leta utata sana si hapa Tanzania bali katika nchi ambazo viongozi wao wanapenda siasa kuliko taaluma. Nakumbuka Obama alipo ingia madaraka ali-introduce kityu kilicho kuwa kinaitwa IT dashboard. Kilikuwa kitatoa mwelekeo wa mambo ya serikali yake kwa wanainchi wa marekani.
Kikwazo kingine tunachokumbana nacho hapa kwetu Tanzania ni mitaala ya elimu ambayo ni static, haibadiliki kilingana na mahitaji ya kijamii na uchumi kwa ujumla. Sasa hivi operations systems zina data nyingi kupta kiasi.
Vyuo vingi katika nchi zilizo endelea vinafundisha masters and engineering courses in decision engineering, Business intelligence, financial engineering, traffic engineering, operational research, Data analysis and data mining etc. Na hizi course mara nyingi ni professional course ZINAZO LENGA KUWA ANGA DESIONSUPPORT SYSTEMS DESIGNERS AND ENGINEERS. Inasemekana kuwa Master in Business Intelligence (MBI) WILL REPLACE THE TRADITIONAL MBA.
Tulirudi kwenye maada yetu, Je decision support systems zina exiting hapa Bongo??. Mie binafsi naamini zipo hasa katika mashirika makubwa ya simu, Bank etc. Kwa nini aamini hivi, ni kutokana naukweli kuwa tunapo sema decision support systems ni mfumo wowote ambao unamsaidia manager kuchukua maamuzi sahihi. Pia Namini wengi mmesha sikia wakitaka Data warehouse specialist, Business intelligence specialiast ect. Hizi ni badhi ya kazi ambazo zinaonyesha watu wana DSS , labda tujadili complexity ya hizo systems. Na mara nyingi hizi systems zinatumia Transaction Systems or operational systems as a source of data.
Nimewahi kushiriki project moja, ya kudesign desion support systems. Transaction systems ilikuwa ni systems moja inayo process millions of data per day. Kwa hiyo jamaa walikuwa wanapata shinda Sana kufanya maamuzi kwani lichukua muda mrefu kuja kupata information ambayo ni supportive kwenye decision zao. Sio we designed something that we called '' Dashboard systems"" reflecting to the reel dashboard we use when we drive vehicles, na ilibidi to sychronise data in real time (database mbili ziwe na the same data ) kwani kuna alarm nyingine zilitegemea kila data inayo ingia kwenye TS. Huu ni mfano wa dashboard yako ya gari, inatakiwa kutoa indicators zote za mambo yanayo endelea ndani ya gari lako, matatizo, na uwasaidie wengine mlio katika njia moja kuchukua maamuzi sahihi kwa mfano, ukitaka kukata kona lazima, utaona indicator na Yule mliye naye njia moja atajua nini unafanya.
Naamini zipo desion support systems nzuri sana baadhi ya companies, kwa mfano kuna jamaa ( siwataji) wana systems ambayo inatoa alerts za warning za critical issues zote kwa sms, hizi alerts ni combination of analysed information from all sources (databases) of the company. Kwa hiyo boss unaweza toa uamuzi, au au ukabadili kabisa strategy ya business yako wakati wowote sio lazima uwe ofisini.
These systems uses a lot of mathematics (classification, regression, operational research, probability etc to generator information (indicators) from different sources (databases) according to company's standards and objectives.
.
Mkuu,nimeupenda machnago wako sana, Kwanza fikirina uelewa wa IT wa wale wazee walio shikiria vitengo. Atafikiria sa ngapi kama kuna kitu cha kumsaidia kutoa maamuzi .
Kwanza ni wazee wanaoogopa IT kama okoma eti utawafukuzisha kazi. Nasikia kuna boss mmoja alikuwa hataki computer zinunuliwe kwani hata kuitumia alikuwa hajui, sasa alikuwa anaona noma kuaibika. sasa tutafika kweli huko. Tunatakiwa kurecycle wale wazee wote au tuwatimue, tuweke vijana wenye maono na taaluma zao ndipo mambo yatakaa vizuri.
.
Kama viongozi wetu wangeweka IT mbele naamini tungefanya mambo ya ajabu. Tunegeweza kuwa intelegence systems ambazo zingekudanya data toka database zote (google principle) tukapato nini position yetu na wapi twende, mshindani wetu ni nani, na ana nini ambacho sisi hatuna, na tukifanya nini, nini kitatokea. Lakini utasikia radar, mabasi ya mwendo kasi, downs (upuuzi mtupu)
Lakini ndugu nenda kaone kazi wanazo fanya wataalam wa IT kwenye ofisi za serikali utacheka, kama hakuna gazeti la kusoma siku ni ngumu maana kazi za kufanya hakuna, na zilizopo ni help desk.
Angalia rwanda walivyo invest katika IT, ni mfano wa kuigwa. Wameamua kuivest in IT kiukweli. Wanachi kwa mfano akitaka kuuza zao lake anaweza kupatana kukopea bei katika masoko mbalimbali kwa kutumia simu yake au internet.
Kwa kweli inanichosha kuona bado tunaajili help desk miaka nenda rudi, lini tutakuwa na systems ambazo rais atakuwa na uwezo wa kutupa jicho mara moja na kujua mwelekeo wa taifa lake kwa miezi sita ijayo????. Labda tuwaalike wazee hapa JF. asanteni
Nakubaliana na wewe for 100% na umenipa mwanga hapa kwamba utashi wa mambo yanavyo takiwa kwenda ni mhimu zaidi. Lakini swala la DSS kwa wakati huu ni muhimu mno tena sana , kwa nyakati tulizo nazo. Hatuta weza kwenda na wenzetu, lazima tutadanganywa.Mtazamaji tunashukuru kwa kuleta mada nzuri bila kubaki mtamazaji.
Mr. Politician ni wimbo ambao untakiwa kupigwa kabla ya hii mada.
Kwa nini?
Rwanda tunayoitumia kama mfano wana nini mpaka wako pale walipo?
Utashi wa kisiasa unahitajika sana ili kitu chochote kiwezi kustawi. Wala sio swala la DSS, katika dunia ya leo, Kama unataka mafanikio kwenye kipengele chochote cha huduma (product/service) unahitaji uongozi wa juu utoe dira na welekeo katika masuala ya utumiaji wa ICT.
Suala siyo kwamba viongozi wanajua ICT au la bali ni utashi.
Kuna mambo mengi unaweza kuyaeleza kama sababu za kwa nini hatuendi mbele.. lakini miye nitarudi pale kwenye mwelekeo kama taifa tunataka nini?
Mpaka 2010 inaisha bado hatuna sera na mipango mikakati mizuri ya utumiaji wa masuala ya ICT kwenye nchi. Mipango mikakati ambayo itaelekeza taasi zozote kuzifuata ili kufika pale ambapo tunataka kufika.
Sitapenda kulaumu watu wa ICT kwa sababu pale kufanya anayohitajika na wakuu wao.
1. kuna masuala ya upangaji na ugawaji wa rasilimali (watu na fedha) ni tatizo lakini yanaingia kwenye sera na mipango mikakati
2. Rushwa na ubadhiru vinatawala sana sekta hii, kwa hiyo hata ukiwa na sera nzuri na mipango bado utahitaji viongozi wakusimamia
3. Elimu na ujuzi wa wataalamu hauendani na mahitaji ya nchi na dunia.
Naomba niishie hapo kwa leo, ninasikitika kuona Tanzania bado hatuko tayari kuweka kwa umakini katika sekta hii. Tunaabaki kukiri tu kwamba ni muhimu kwa maendeleo lakini waulize viongozi kweli wanamaanisha wanachosema? sera na mipango mizuri iko wapi?
Nawasilisha thumuni yangu
Mkuu mtoa maada, ni kweli swali lako bado lina leta utata sana si hapa Tanzania bali katika nchi ambazo viongozi wao wanapenda siasa kuliko taaluma. Nakumbuka Obama alipo ingia madaraka ali-introduce kityu kilicho kuwa kinaitwa IT dashboard. Kilikuwa kitatoa mwelekeo wa mambo ya serikali yake kwa wanainchi wa marekani.
Kikwazo kingine tunachokumbana nacho hapa kwetu Tanzania ni mitaala ya elimu ambayo ni static, haibadiliki kilingana na mahitaji ya kijamii na uchumi kwa ujumla. Sasa hivi operations systems zina data nyingi kupta kiasi.
Vyuo vingi katika nchi zilizo endelea vinafundisha masters and engineering courses in decision engineering, Business intelligence, financial engineering, traffic engineering, operational research, Data analysis and data mining etc. Na hizi course mara nyingi ni professional course ZINAZO LENGA KUWA ANGA DESIONSUPPORT SYSTEMS DESIGNERS AND ENGINEERS. Inasemekana kuwa Master in Business Intelligence (MBI) WILL REPLACE THE TRADITIONAL MBA.
Tulirudi kwenye maada yetu, Je decision support systems zina exiting hapa Bongo??. Mie binafsi naamini zipo hasa katika mashirika makubwa ya simu, Bank etc. Kwa nini aamini hivi, ni kutokana naukweli kuwa tunapo sema decision support systems ni mfumo wowote ambao unamsaidia manager kuchukua maamuzi sahihi. Pia Namini wengi mmesha sikia wakitaka Data warehouse specialist, Business intelligence specialiast ect. Hizi ni badhi ya kazi ambazo zinaonyesha watu wana DSS , labda tujadili complexity ya hizo systems. Na mara nyingi hizi systems zinatumia Transaction Systems or operational systems as a source of data.
Nimewahi kushiriki project moja, ya kudesign desion support systems. Transaction systems ilikuwa ni systems moja inayo process millions of data per day. Kwa hiyo jamaa walikuwa wanapata shinda Sana kufanya maamuzi kwani lichukua muda mrefu kuja kupata information ambayo ni supportive kwenye decision zao. Sio we designed something that we called Dashboard systems reflecting to the reel dashboard we use when we drive vehicles, na ilibidi to sychronise data in real time (database mbili ziwe na the same data ) kwani kuna alarm nyingine zilitegemea kila data inayo ingia kwenye TS. Huu ni mfano wa dashboard yako ya gari, inatakiwa kutoa indicators zote za mambo yanayo endelea ndani ya gari lako, matatizo, na uwasaidie wengine mlio katika njia moja kuchukua maamuzi sahihi kwa mfano, ukitaka kukata kona lazima, utaona indicator na Yule mliye naye njia moja atajua nini unafanya.
Naamini zipo desion support systems nzuri sana baadhi ya companies, kwa mfano kuna jamaa ( siwataji) wana systems ambayo inatoa alerts za warning za critical issues zote kwa sms, hizi alerts ni combination of analysed information from all sources (databases) of the company. Kwa hiyo boss unaweza toa uamuzi, au au ukabadili kabisa strategy ya business yako wakati wowote sio lazima uwe ofisini.
These systems uses a lot of mathematics (classification, regression, operational research, probability etc to generator information (indicators) from different sources (databases) according to companys standards and objectives.
kweli wajumbe
ndhani managers na decion makers kwenye serikali ,mashirika ya binafsi na taaasisi wajue na watambue information system can do more than storing and prosseing information faster.
Hili desa tosha kabisa. Lakini nipeni hatua na namna ya kudesign hizi systems.
Hili desa tosha kabisa. Lakini nipeni hatua na namna ya kudesign hizi systems.