Do not invest in things you don’t understand

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Do not invest in things you don’t understand, and don’t invest money you can’t afford to lose. If you’re broke and looking for a miracle, this is NOT for you


There is always an easy and free way to make money from something. In blockchain, we make money by freelancing remotely

Hizi ni njia unaweza kuzitumia kupata free money kwenye crypto.

Kwanza crypto is about people. Community, and marketing.

Project yoyote ya Crypto inaanza na marketing.

Ukiamua kuomba kazi xa marketing, nina uhakika asilimia 100 utapata kazi

Njia nyingine ya kupata pesa za crypto ni kuwa community manager.

Kwenye project za blockchain zimakuwa kwa asilimja kubwa zinahitaji watu.

Kuwa community manager ni rahisi
Kwasababu zinahitaji uweze ku manage community na kufanya moderation.

Njia nyingine ni kuwa community growth.

Hapa unapambana kwa mbinu kubwa kukusanya followers

Hasa kwenye social. Media.

Community growth manager ana kazi kubwa ya kuhakikisha Followers wanaongezeka kila siku

Njia nyingine ya kupafa pesa za blockchain ni kufanya kazi za research na analysis.

Kufanya fundamental analysis, technical analysis and sentimental analysis.

Kazi hizo zipo nyingi sana kwenye remote work za blockchain

Njia nyingine ni kuangalia Roadmap ya project za blockchain au kupata ratiba yao.

Hiyo ratiba itakusaidia kupata taarifa muhimu kuangalia kama kuna movements yoyote ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…