komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,520
Haya, tumekusikia mchafuzi wa familia zetu. Ila usitupangie. Tunajua yote hayo na bado tutaoa au unataka ndoa ziwe za viumbe gani pekee hapa duniani tofauti na binadamu.Okay, let's make this as short as possible.
Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.
Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?
Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.
Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.
Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.
Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Mr. Wako mtiifu naona umeamua kumalizia kibabe sana hapo mwisho. Ila honestly ndoa sio lifestyle inayoweza mletea maendeleo kijana wa leo. Labda wale wa 80s kushuka chini huko.Okay, let's make this as short as possible.
Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.
Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?
Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.
Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.
Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.
Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Wanahitaji uhakika wa maisha sio tu kwa kumhudumia kifedha bali kihisia na mambo mengine mengi.Hivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
Watu sahihi tuwapate vipi wakati wameshapitia mahusiano kibao hata kufikia hapa wameshaota sugu.Hakuna asiyependa kuwa na mtu sahihi ila kwa dunia ya sasa mambo yamekuwa ni magumu mno ktk kumpata huyo mtu sahihi
Sawa sawa ni jambo jema piaMkuu mimi nagombaniwa na wanawake Malaya.
Sasa sii njoo basi nikuwowe tuanzishe familia jamaniupate tulizo la nafsi na mwiliWee ndoa muhimu km ni mtu mwenye akili timamu natak kuwa na familia,kuwapa malezi wanangu vizuri wakiwa na babayao,kuwa na mtu wa kunipa utulivu wa nafs na mwili,alafu mm nimelelewa na wazazi wangu so siwez kuikataa ndoa never pia ni sheria uzinifu sio kitu kizuri
Waty wengi sasahiv. Wanamatatizo ya afya ya akili kutokana na mambo wanayopitia ila hawataki kukubali ukweliWatu sahihi tuwapate vipi wakati wameshapitia mahusiano kibao hata kufikia hapa wameshaota sugu.
Tuwaulize nyie mnaotusakama sana humu ambao hatujaolewa mana ndio mnajua sababu kuliko sisi wahusika.
Wana tatizo la emotional trauma hawataki kukubali kuwa wamepitia mambo mabaya kuhus wanawake wapate Somo na wasonge mbeleMnachokisema kinaweza kuwa kweli lkn hebu tufikiri leo mwanao bado mdogo miaka ishirini ijayo atakuwa na 25 na mpk 30 hataolewa sababu kila mtu kachukua ushauri huu kama muelekeo wa maisha.Ataishia kulalwa na kila mwanaume,akibahatika sana atazaa na mme wa mtu na umri ukiwa umeenda ataanza kutembea na vijana wadogo.Unachokikiri kwa ulimi wako hakitakuja kwako tu kitakuja hadi kwa kizazi chako dada,mdogo na watoto kuwa makini
Nani huyo anakusakama nikamtie mingumiTuwaulize nyie mnaotusakama sana humu ambao hatujaolewa mana ndio mnajua sababu kuliko sisi wahusika.
For sure wanaume wanahitaji ndoa kuliko hata wanawake sikuhiz 😃ila uoga ndo unawasumbua wanabaki kuwasakama wanawakeTuwaulize nyie mnaotusakama sana humu ambao hatujaolewa mana ndio mnajua sababu kuliko sisi wahusika.
Wa kwanza wewe apo 😂Nani huyo anakusakama nikamtie mingumi
He wanazimudu? Au fashion?Hivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
I find your arguments psychotic, inaonekana you have bad experience in dating women, someone cheated on you, I dunno but get yourself together and stop writing this nonsense.Okay, let's make this as short as possible.