Kwa hio unamaanisha usipoishi na mama wa mtoto wako basi mtoto anaharibikiwa? Huna akiliUtazaa watoto kama umbwa?huyu na mama yake yule na mama yake utaweza vipi kuwa-manage kimalezi kama hauishi na mama zao?
Kutoa manii na kulea mtoto ktk njia sahihi itakayomsaidia baadae ni vitu viwili tofauti,maisha siyo simple kiasi hiko na ni rika tu linakusumbua kuna wakati utafika utajiona mjinga kuwaza hivi,unapoona vitu ktk jicho jepesi kama hivi elewa kuna siku mtoto utakaemzaa atabikiriwa na bwana wa mwanamke uliyemzaa kwa sababu alikuwa karibu yake kuliko wewe mwenye mbegu yako.
Tatizo mnaweka vigezo vingi,awe na tako sijui shape awe na elimu kichwani mtafikiri mnatafuta walimu wengine mmeingiza hadi kigezo cha mke ataleta kiasi gani mezani!Hakuna asiyependa kuwa na mtu sahihi ila kwa dunia ya sasa mambo yamekuwa ni magumu mno ktk kumpata huyo mtu sahihi
Sehemu tulivu ndio sehemu gani?Kutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.
Hey dude,watch ya thumbs!unasemaje sina akili na kwanini unadhani una akili kunizidi?kwa sababu umesema kuoa hakufai?Kwa hio unamaanisha usipoishi na mama wa mtoto wako basi mtoto anaharibikiwa? Huna akili
Kingine, kuwa na hela na uwezo wa kutosha, mtoto unapewa ulee wewe mapema tu. Nikisema uwezo namaanisha uwe mwanaume kweli sio mwanaune suruali wale wanaosema eti wanaoa ili wasaidiane kiuchumi na wake zao. Hivi unamjua mama wa mtoto wa kwanza wa ronaldo? Stop justifying your weaknesses, fight them.
Mwanamke niliozaa nae anajua haiba yangu vyema sishindwi kumnyang'anya watoto anytime. Anakaa kwenye nyumba nilojenga mm, full cctv, maasai nje. Yeye hata akitombwa huko sina shida, ila watoto wangu wako safe, na anajua akizingua anatolewa. Be powerful as a man.
Sasa kama umezaa na mwanamke lkn hao watoto wanakaa kwa mwanaume mwenzako hapo ndipo shida unazoziongelea zinakuja. Kwanza kama mtoto wako anakaa kwa mwanaume mwenzio wewe bado mvulana tu umewahi kukojolea K, huwezi kuitwa baba
Pangilia maisha yako. Kama huna mtu baki (sio lazima awe mwanandoa wako) ambae ukimpigia simu au akisikia unaumwa basi ataacha kila kitu na kukusaidia basi una shida kubwa sana mahala. Nina washikaji ambao hata wasiponiona bar tu wiki mbili straight wataulizia kama niko mzima wa afya. That's your problem, do not generalize it.Siku utakayoumwa usiku na kukosa mtu wa kukupa msaada, ndio utajua umuhimu wa kuoa.
No need for sorry, ukweli lazima uwe attacked siku zote kwa points ambazo haziweze kuwa justified, utamuitaje mtu shoga kisa umeona anachoandika tu na kwenye maandishi hajasema yy ni shoga. Again, that's your problem, you have to deal with it yourself.Sorry mleta maada sikukusudii wewe. Ila binafsi naona hizi maada zinaletwa na mashoga ili tuwaone wanawake ni wabaya.
Sijasema hawapo, na hakuna sehemi nimesema msiwe na mahusiano na wanawake, bali usiingie kwenye ndoa kisa kutatua matatizo ambayo ni temporary tu, If u have a real permanent problem, then go aheadWanawake wema bado wapo.
Loser! Poor boy.Hey dude,watch ya thumbs!unasemaje sina akili na kwanini unadhani una akili kunizidi?kwa sababu umesema kuoa hakufai siyo?
Unaandika vitu vingi sana visivyokuwa na maana na mara zote Mtanzania akishaanza kujifananisha na watu wa nje anakuwa amekosa hoja,wewe unataka kujifananisha na Ronaldo kwa kipi kwa lipi?vijana wangapi wenye uwezo wa kujengea mama za watoto wao nyumba?unajaza watu upepo tu na vingi ulivyoandika hapo navichukulia kama story za kwenye vijiwe vya kahawa tu yeyote humu anaweza akaviandika kutetea hoja zake lakini kiuhalisia hali haipo hivyo.
Mbona kuna ndoa za Polygamy ambazo ni legal hata kwenye dini ambapo mwanaume anazaa watoto kila mtoto na mama yake?Utazaa watoto kama umbwa?huyu na mama yake yule na mama yake utaweza vipi kuwa-manage kimalezi kama hauishi na mama zao?
Kutoa manii na kulea mtoto ktk njia sahihi itakayomsaidia baadae ni vitu viwili tofauti,maisha siyo simple kiasi hiko na ni rika tu linakusumbua kuna wakati utafika utajiona mjinga kuwaza hivi,unapoona vitu ktk jicho jepesi kama hivi elewa kuna siku mtoto utakaemzaa atabikiriwa na bwana wa mwanamke uliyemzalisha kwa sababu alikuwa karibu yake kuliko wewe mwenye mbegu yako.
Na hayo mafanikio usipokuwa nayo ila lakini una ndoa, utaitwa jina gani?Ndoa ni kitu muhimu sana. Huwezi kuitwa mwanaume mwenye mafanikio na huna familia bora. Kutokuoa sio sawa. Ila pia ingekuwa amri yangu ningefyeka FEMINISTS wote duniani maana wao ndo visababishi vya vijana kukataa ndoa. Pia mafisadi ningetwanga risasi kwasababu wana mchango mkubwa wa hali ngumu ya kiuchumi kwa vijana. Vijana wengi wana hali ngumu kiuchumi kiasi kwamba wanakimbia majukumu.
Bado hujafanikiwa.Na hayo mafanikio usipokuwa nayo ila lakini una ndoa, utaitwa jina gani?
Jambo likishaenda kwa taratibu za kidini au kikatiba ktk jamii tayari hilo lina taratibu zake zinazojulikana.Mbona kuna ndoa za Polygamy ambazo ni legal hata kwenye dini ambapo mwanaume anazaa watoto kila mtoto na mama yake?
Je hiyo nayo ni life style ya umbwa?
Unaleta utani kwenye vitu serious bro!Pangilia maisha yako. Kama huna mtu baki (sio lazima awe mwanandoa wako) ambae ukimpigia simu au akisikia unaumwa basi ataacha kila kitu na kukusaidia basi una shida kubwa sana mahala. Nina washikaji ambao hata wasiponiona bar tu wiki mbili straight wataulizia kama niko mzima wa afya. That's your problem, do not generalize it.
No need for sorry, ukweli lazima uwe attacked siku zote kwa points ambazo haziweze kuwa justified, utamuitaje mtu shoga kisa umeona anachoandika tu na kwenye maandishi hajasema yy ni shoga. Again, that's your problem, you have to deal with it yourself.
Sijasema hawapo, na hakuna sehemi nimesema msiwe na mahusiano na wanawake, bali usiingie kwenye ndoa kisa kutatua matatizo ambayo ni temporary tu, If u have a real permanent problem, then go ahead
Kumbe kinachompa mtu sifa sio ndoa kumbe ni mafanikioBado hujafanikiwa.
Utofauti wa ndoa kwenye dini ni kiapo tu. Na ile dhana ya kujimilikisha rasmi mtoto wa mtu.Jambo likishaenda kwa taratibu za kidini au kikatiba ktk jamii tayari hilo lina taratibu zake zinazojulikana.
Sasa hawa vijana wanasema tusioe tuzalishe tu wanawake watoto watakuja kututafuta wakiwa wakubwa au eti tuzae kama Ronaldo au Elon Musk tukazane kutafuta hela,Tanzania hii hizo hela za kulea watoto randomly mmoja Tabata mmoja Mbezi mmoja Bunju wangapi wana kipato cha kufanya hivyo?kama siyo kuandaa taifa la machokoraa na machangudoa,ni ujinga tu kufikiri tumeelimika zaidi kuliko walioianzisha hii dunia wakaweka na misingi yake.