DNA ya kimila

mimi ni Mtanzania ndugu.
Labda nikuulize Mo Dewji ni Mtanzania au Muhindi?
Sawa wewe ni mtnzania, lakini pele juu umeandika nanukuu,

" Upuuzi mwingine huu wa mtu mweusi "

Wewe ulijuaje aliye andika ni mtu mweusi ?

Maana kila jamii ina watu weusi na weupe.
Wahindi- weusi- weupe
Waarabu-weusi-weupe
Waafrika-weusi-weupe
Wa mashariki ya mbali kama Wafilipino, Wanepal nk.

Wewe rangi ya uliyemnukuu pale ulipata wapi ?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi huyo anadhani kuwa kanjibahi ni bora zaidi ya wengine
 
Hiyo ni ibada ya miungu
Haya waendelee kuabudu. Tanzania karibia 96% wana mungu 2 nakuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…