Mh..kama ni Trillion Gigabytes zipo kwenye kigram kimoja cha DNA, ina maana binadamu ana gramu ngapi za DNA? na ni ngapi zinaweza kuhifadhi data? na je, ina maana upo uwezekano wa mtu kuchip-iwa taarifa za kompyuta kwenye mwili wake, alafu akawa anaweza ku-access infos kama yule jamaa wa kwenye intelligence (2013)