DNA analysis proves that Blacks are the only Humans with 100% DNA

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
839
1,000
According to "informative" they believed that blacks are the only human with 100% human DNA. They wrote "For years, Black people have been seen and treated as less humans and in some cases were even called monkeys, but recent DNA study proves that Black people are actually the only ones with 100% human DNA.

ab8fd9d3e107812a5adbe6d7a30508cb

A Harvard researcher has declared that Africans are the only race that has 100 percent human DNA while the rest have Neanderthal DNA in them (which makes them the closest relative to monkey)s. While this seems controversial another separate study colludes with the Harvard study...

Dr. David Emil Reich, a genetics professor at Harvard, and his colleagues analyzed the genetic variants of 846 non-African people, 175 people who live in the sub-Saharan region of Africa, and a 50,000-year-old Neanderthal man.
They have found out that nine genetic variants found in humans are associated with specific traits that can be found in Neanderthals. The same genetic variants are the same ones responsible for such diseases, such as Type-2 diabetes, Crohn's disease, lupus, optic disk size, and biliary cirrhosis

The Harvard researcher and his team also found that this Neanderthal DNA affects how keratin filaments developed. As opposed to humans, Neanderthals have more keratin filaments than humans making their skin tougher. This allows them to survive in harsh, cold, climates. That DNA was beneficial to the human survival in such climates.

A separate study conducted by Dr. Benjamin Vernot and Dr. Joshua Akey from the University of Washington yielded the same conclusion after the scientists analyzed the genetic makeup of 286 East Asians and 379 Europeans.

According to the duo, Neanderthal skin genes are present in Europeans and East Asians. On the other hand, the rest of the genes are not compatible with the human genome and they most probably become extinct. One area of the human genome where the Neanderthal DNA is absent is that which affects human language and speech.

Harvard researcher DR. Reich said that the goal of the study is to understand how this DNA impact the biological impact of how human and Neanderthal DNA flow. It will also show the scientists what genes have been preserved and which ones have been rejected through the process of natural selection.

It has more recently been discovered that all NON AFRICANS possess a small mixture of Neanderthal in their DNA. Studies have shown that once man began to migrate from East Africa and into colder climates, they interbred with Neanderthals, thus mixing the gene pool. It is hypothesized that Neanderthals evolved from Homo Heidelbergensis. Black Africans do not possess Neanderthal DNA because their ancestors did not migrate through Europe/Asia. In theory, Black Africans would represent pure modern Humans

Neanderthal Man died out about 30,000 years ago, but he left some of his DNA behind, especially in people scientists are delicately calling “non-African.” Neanderthals lived in Europe and Asia, but didn’t get to Africa. Early humans in Europe and Asia hooked up with the Neanderthals, so to speak, and although these were two different species, they were close enough genetically to have offspring, and some of those offspring (unlike, say, mules) were fertile. So Whites and Asians today have inherited 3 to 7 percent of genomes from Neanderthals"

...For some, an unwillingness to accept African origins may be motivated by racism or nationalism, but this isn’t the case for all. There are those for whom it’s simply a way of squaring old origin stories with modern science. In Australia, for instance, many indigenous people favor the multiregional hypothesis because it sits closer to their own belief that they have been here from the very beginning. Indeed, this is an origin myth shared by cultures in many parts of the world.

But truth is, every human being on the planet today can be raced back to an African woman. Africans are simply the original modern humans

With many other reason, their research seems convincing ...but what did you think?
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,144
2,000
Basi wafanye tena utafiti ili tujue ni kwa nini sisi ndio jamii ya watu wenye kukumbwa na masaibu mengi hapa duniani.

Kwa nini mambo yoote mabaya yako kwetu, kuanzia umaskini, ujinga, utawala mbovu, unafiki, umbeya na maovu mengi ambayo japo kwingineko pia yanapatikana lkn kwetu ni mara dufu. Why this..?????
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,305
2,000
Baada ya maandamano ndiyo mnakuja na mautafiti mara kuosha miguu mara mnalia eti "Mungu awasamehe" mara sijui nini!!

UNAFIKI Mkubwa huo kutaka kutuonyesha mnajishusha kumbe mnakula timing na kutuchungulia dirishani na kusema 'hiiiiii..!'
 
Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
613
1,000
Inakusaidia kujielewa kuwa unaweza kama wao,ila Mswahili kuamini hiyo si rahisi ni kazi kweli kweli.
Sick mind!..

Kwa hiyo wewe ulivyoambiwa na wazungu mwanzo kuwa wafanana na nyani ukaamini hivyo...na kwa mawazo yako hilo tu ndio likafanya waafrika kuwa nyuma kiteknolojia na maendeleo.

Ila leo hao hao wazungu kukwambia muafrika DNA zako ni za binaadam kwa 100% na wao ndio wanafanana na nyani kwa hiyo kwa upeo wako wa kufikiri waona hilo tu ndio litakufanya uwe mbele kimaendeleo (kisha wao wawe nyuma maana wanafanana na nyani).
 
Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
946

Wanasema hivo ni Wazungu wenyewe tena wanasayansi , sio mimi.Fikiria Mwafrika ndie angekuwa sio 100 percent,Ungenyanyaswa vibaya mno.Usitoe povu Kijana.ni kazi sio ndogo kumfanya Mwafrika ajiamini.Ni kazi kweli kweli.
 
Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
549
1,000
Baada ya maandamano ndiyo mnakuja na mautafiti mara kuosha miguu mara mnalia eti "Mungu awasamehe" mara sijui nini!!

UNAFIKI Mkubwa huo kutaka kutuonyesha mnajishusha kumbe mnakula timing na kutuchungulia dirishani na kusema 'hiiiiii..!'
Mabeberu yana akili za kujiongeza haraka sana.
Yashausoma upepo yamekuja na research ya kutuliza hali ya hewa.
 
Kigonash

Senior Member
Mar 20, 2020
116
250
K
Wanasema hivo ni Wazungu wenyewe tena wanasayansi , sio mimi.Fikiria Mwafrika ndie angekuwa sio 100 percent,Ungenyanyaswa vibaya mno.Usitoe povu Kijana.ni kazi sio ndogo kumfanya Mwafrika ajiamini.Ni kazi kweli kweli.
Kwani hatunyanyaswi sasa hivi
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,305
2,000
Majinga sana haya madubwana, yaani yanatumia akili zao kuwalaghai wasiojua kwa undani na hii kitu kama hujiongezi unaweza kuingia kichwa kichwa na subili soon utakuja kushangaa.

Haya madubwana siyapendi kwenye kutumia akili ili kutuchota, mfano toka wameleta dini mpaka leo unashangaa tunachoendelea nacho, ukienda kwenye nalighafi zetu zote kama ziwa Nyanza ambalo ni Victoria jina lao limekuwa na nguvu kuliko letu.

Shubamit..!!
Mabeberu yana akili za kujiongeza haraka sana.
Yashausoma upepo yamekuja na research ya kutuliza hali ya hewa.
 
Pompey

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
390

We naye huna solution, unapiga kelele tu
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,895
2,000
Basi wafanye tena utafiti ili tujue ni kwa nini sisi ndio jamii ya watu wenye kukumbwa na masaibu mengi hapa duniani.

Kwa nini mambo yoote mabaya yako kwetu, kuanzia umaskini, ujinga, utawala mbovu, unafiki, umbeya na maovu mengi ambayo japo kwingineko pia yanapatikana lkn kwetu ni mara dufu. Why this..?????
kwa nini wewe usifanye utafiti huo...!? Au basi ukasaidia kufanya utafiti huo. TUJITEGEMEE!
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,895
2,000
Mabeberu yana akili za kujiongeza haraka sana.
Yashausoma upepo yamekuja na research ya kutuliza hali ya hewa.
hatutaki... Mpaka kieleweke!

Yaani nawaona kama Jumong anavyowaona raia wa Han na kaka yake wa kufikia Daeso!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom