Who is Mwambukusi?Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Bandari zetu ni salama na hazijauzwa kwa yeyote yule.lakini pia hayupo mwenye ubavu wala uwezo wa kumuangusha wala kumshinda Dr Tulia katika sanduku la kura.Tulia ni kuadi namba mbili wa kuuza bandari zetu kwa maslhi binafsi. Mama ameshamwambia hata akikosa ubunge, atakuw wa kwanza kupewa ubunge wa uteuliwa na rais kikatiba
goli la mkono kaka wana mbea utawalaumu bureMbeya najua sio wasaliti!
Kwa nguvu moja mkataeni huyu mtu, hafai!
Gwandile ndili ubukonyofu???mwakaleli tuli na mahala fijooHakuna cha mwanaharakati Mwabukusi wala jiwe la sugu.
Anayeleta maendeleo ndiyo tunamchagua.
Mnaotaka wabishi nendeni mkale huko kwao!
If you don't know Mwambukusi,then you are alien'sWho is Mwambukusi?
Sifuasilemo mwe bhandu umwe.Gwandile ndili ubukonyofu???mwakaleli tuli na mahala fijoo
Kabisa uko sahihi.maana tume ya uchaguzi ccm,polisi ccm,mkurugenzi ccm,jeshi ccm,mahakama ccm.refa wewe,mchezaji wewe alafu timu yako ifungwe??Sio rahisi.Mwambukusi ni kidume yule,tutakua nae bega Kwa bega.mpaka kieleweke.na bandari hamuuzi ng'ooo,NGUVU YA UMMA IPOBandari zetu ni salama na hazijauzwa kwa yeyote yule.lakini pia hayupo mwenye ubavu wala uwezo wa kumuangusha wala kumshinda Dr Tulia katika sanduku la kura.
Pale mfuasi wa Sugu anapoanza kuweweseka 😂😂Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.
MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Sugu mnampeleka wapi?Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.
MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Mbeya labda Kwa wasafwa wajinga wenzio mporoto huko.mjini hapa hatakiwi kuonekana.Pale mfuasi wa Sugu anapoanza kuweweseka
Ni hivi Tulia atatulia Mbeya mjini,huyo mbumbumbu wako kama unamhitaji mualike kwako ata rapu ufulahi
Mbunge wa Mbeya tena asiinekane? 🤣🤣🤣🤣🤣Mbeya labda Kwa wasafwa wajinga wenzio mporoto huko.mjini hapa hatakiwi kuonekana.
Labda jimbo la Mbeya lipasuliwe vipande vitatu. Likibaki kuwa moja ama kumegwa na kuwa majimbo mawili, nahisi Bibi Tarabushi atakuwa hana lake.Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.
MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Ujinga toka kwa punguani.Mbeya ni Dr Tulia na Dr Tulia ndio Mbeya. Huyo ndio chaguo la wana Mbeya,ndio Tumaini la wana Mbeya ,ndio hitaji la wana Mbeya,ndiye aliyepitishwa na mioyo ya wana Mbeya.Dr Tulia hana mpinzani wala wa kushindanishwa naye katika sanduku la kura Hakuna mwenye ubavu wa kumzuia wala kumkwamisha Dr Tulia Mbeya mjini.sauti za wana Mbeya zinapazwa na zinasikika zikiendelea kuhitaji utumishi wa Dr Tulia Mbeya mjini.
Kwa mambo makubwa na ya kuacha alama Mbeya mjini imefanya vijana kwa wazee kwa akina mama kuungana kwa pamoja kumuunga mkono Dr Tulia uchaguzi ujao.
Kwa kuwa ni uwepo na ushawishi wa Dr Tulia imepelekea kupelekwa mabilioni kwa mabilioni ya miradi ya maendeleo jiji la Mbeya na mkoa mzima wa Mbeya ,Ni kupitia yeye sasa zaidi ya Km 237.9 za barabara za njia nne zinakwenda kujengwa kuanzia Igawa mpaka Tunduma mkoani Songwe.
Ni kupitia Dr Tulia leo Mbeya inaheshimika na kupewa kila aina ya fursa ya maendeleo.ni kupitia Dr Tulia tumeona vijana , akina mama ,watu wenye ulemavu na makundi mengine mengi yakipewa na kuwezeshwa mitaji kwa ajili ya kufanya shughuli za kujipatia kipato.tumeona vijana wakipewa pikipiki pamoja na bajaji bure kabisaa kwa ajili ya kufanyia biashara na kujipatia fedha zinazowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato.
Ni kupitia uchapa kazi na nguvu ya Dr Tulia tunaona maonyesho ya nane nane mkoani Mbeya yakipewa heshima ya kipekee na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa Taifa letu. Tumeona namna mh Tulia anavyofanya kazi zilizogusa kila eneo ambalo ukienda lazima ukute mikono ya Dr Tulia.Tumeona majuzi hapa amewezesha shule ya sekondari Samora kujenga na kukamilisha mabweni ya wanafunzi wa kike yatakayochochea ufaulu na kuleta utulivu wajisomeapo.
Hakuna utakakokwenda usikute alama na mikono ya Dr Tulia,hakuna ambapo utakwenda usikute mchango wa Dr Tulia,hakuna ambako utapita usionyeshwe juhudi na kazi za Dr Tulia katika kuleta matumaini, Tabasamu,furaha na vicheko vya furaha kwa wanambeya. Ni Dr Tulia kila sehemu ni utulivu kila mahali na ni maendeleo kila eneo kutokana na maono makubwa na upendo mkubwa alio nao Dr Tulia kwa wana Mbeya na Mbeya nzima kwa ujumla wake.
Msomi anayetetea mkataba mbovu wa bandari??Bora mbumbumbu mjanja kuliko msomi lofaMbunge wa Mbeya tena asiinekane?
Spika msomi,Sugu mbumbumbu
Bandari zimefanyaje? Si mlisema DP World amechukua Bandari zote,TPA ametangaza tender omba Sasa ukaendeshe container depot's au unasubiria Mwarabu aombe uanze kuongea upumbavu wako?Msomi anayetetea mkataba mbovu wa bandari??Bora mbumbumbu mjanja kuliko msomi lofa
Kwa kipindi kile kishimba alikua hata hawezi kujieleza, ilinishangaza sana kuona kashind tena Kwa kishindo.Ccm na wizi wao hawawezi kuruhusu spika wao anayetetea dp world ashindwe, tulia atashinda kwa kishindo tu hata kama mitutu ikitumika, usishindane na mwenye Dola.... Tulia atabebwa na mbeleko la chuma....
Uchaguzi wa mwaka 2015 lembeli alikua tishio sana baada ya kuhama ccm na kugombea kupitia chadema, na alikua anakubalika sana, unajua Nini kilitokea usiku kabla ya siku ya uchaguzi? Marehemu b.w. mkapa alipelekwa kahama akawa anazunguka usiku kucha na pensi lake, nikajiuliza sana hili Jimbo Lina Nini mpaka wamtume mkapa..... Kilichotokea lembeli aligaragazwa vibaya sana na jumanne kishimba wa ccm.... Nikajua bw mkapa alikuja kwa kazi maalum
Hawa watu ccm bila katika mpya na tume huru ya uchaguzi watashinda popote wanapotaka, na hata wakishindwa watafuta matokeo...rejea ya zanzibar