Sugu kwisha kazi
wewe mbona huku yapiga picha...? kama ume yaona na kupiga picha share humu usiwe na hofu wala mashaka...
Wanamjua vizuri.Ruhusuni mikutano ya hadhara muone NYOMI ya SUGU na hapo ndipo mtakapojua huyo RAIS wa Mbeya ni nani?
wewe mbona huku yapiga picha...? kama ume yaona na kupiga picha share humu usiwe na hofu wala mashaka...
Mikutano ruksa kufanya jimboni kwako, but Sugu Siku moja alienda kwa mkutano na bangi kwa kichwa that's whyRuhusuni mikutano ya hadhara muone NYOMI ya SUGU na hapo ndipo mtakapojua huyo RAIS wa Mbeya ni nani?
hupo hapo??Ruhusuni mikutano ya hadhara muone NYOMI ya SUGU na hapo ndipo mtakapojua huyo RAIS wa Mbeya ni nani?
kiongozi usikose...Sugu akiitisha mkutano utaona polisi wanavyojaa utadhani ni mkutano wao.
Leo umenena kweli walahDk tulia walahi ndio jibu la wana mbeya walahi
Sema kumtoa sugu hawezi walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona yupo bega kwa bega na wana CCM
UZURI WA MWANAMKE UPO KWENYE CHAKULA CHA USIKUππππHuyu mwanamke ana sura ngumu haki daaah..................... ndio kusema?
Fikra za mwenyekiti yupi ?Haya si mapenzi ni mahaba kwa wana Mbeya...
Kidumu chama cha mapinduzi...
zidumu fikra za mwenyekitiView attachment 998034
Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu kila siku anatoa misaada mingi tu hata juzi katoaSugu huko alipo atakuwa ame fula kwa hasira... ana tamani kupasuka na ufupi uleee.... hahahahahahaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
UZURI WA MWANAMKE UPO KWENYE CHAKULA CHA USIKUππππ