majibu utayapata 2020...Dk tulia walahi ndio jibu la wana mbeya walahi
Sema kumtoa sugu hawezi walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Tulia sio mwanaccmhapana ni mwanachama wa chama cha mapinduzi aka ccm
Kama si kampeni unamuhusishaje Sugu au unafikiri humu kumejaa mbumbumbu wenzako?sio kampeni
hacha kuteseka... soma tena ulicho andika...
kila anapo zungumzwa mpinzani hiyo ni kampeni?? kaa fikiri kwa makini...Kama si kampeni unamuhusishaje Sugu au unafikiri humu kumejaa mbumbumbu wenzako?
Watu wako miles ahead of your thinking capacity in case you didn't know that.
Wana Mbeya nao hawa kubaki nyuma kuunga mkono juhudi...View attachment 998033
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia leta vitu tutavitafuna ila 2020 chaguo letu ni Mr.sugu
Leta hela za bure hizo maana uspka ulipewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
NINGEMUELEWA SANA KAMA ANGEGAWA VITABU SIO KOMPYUTA COZ SHULE NYINGI HAZINA HATA VITABU VYA KIADA NA ZIADA VYA KUTOSHA HIZO COMPYUTA ANAZINGUA KWANZA HAMNAGA MITIHANI YA COMPYUTA KITAIFA