D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,987 May 10, 2025 #1 Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa?
Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,367 May 10, 2025 #2 We hupo dunia ya CCM nini jana alikuwa kagera
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,812 May 10, 2025 #3 DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Fuatilia mikutano yao.
DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Fuatilia mikutano yao.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,687 Reaction score 65,273 May 10, 2025 #4 chizcom said: We hupo dunia ya CCM nini jana alikuwa kagera Click to expand... Safi sana. Samia hatoboi mwaka huu bali atatobolewa.
chizcom said: We hupo dunia ya CCM nini jana alikuwa kagera Click to expand... Safi sana. Samia hatoboi mwaka huu bali atatobolewa.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,534 Reaction score 61,962 May 10, 2025 #5 DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... watu wa sisiem mnapenda dana kukurupuka?
DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... watu wa sisiem mnapenda dana kukurupuka?
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,049 Reaction score 41,195 May 10, 2025 #6 DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Umekurupuka sana,Dr. Slaa yupo Kanda ya Victoria kwenye mikutano ya No Reforms No Election.
DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Umekurupuka sana,Dr. Slaa yupo Kanda ya Victoria kwenye mikutano ya No Reforms No Election.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,106 Reaction score 93,134 May 10, 2025 #7 DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Unakua mbumbumbu wa CCM alafu hata hufatilii taarifa. Huoni mikutano ya CHADEMA, Silaha anavyopiga misumari?.
DATAZ said: Mzee Slaa Hana Taarifa na yanayoendelea CHADEMA na Mahakamani? March 23 aliwaomba radhi wanaCHADEMA na kuwakimbia na kuwataka wampokee. Na aliapa kupambana bega kwa bega kuiondoa CCM madarakani Ghafla kimya imekuwa kimya, vipi tena Balozi Slaa? Click to expand... Unakua mbumbumbu wa CCM alafu hata hufatilii taarifa. Huoni mikutano ya CHADEMA, Silaha anavyopiga misumari?.