Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa amesema moja ya mambo yaliyomsukuma kujiunga kufungua kesi dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ni kuwa kutokana na umri wake kama mzee ameona akikaa kimya hatokuwa ametendea haki watoto na wajukuu zake.
Amesema hayo Julai 16, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisema "sisi wazee tukikaa kimya nchi hii itatumbukia shimoni"

Isiwe hiyo tu ya hawa wazee "kutotakiwa kukaa Kimya"; kuna wazee wapuuzi wanaoshiriki katika kuumiza taifa hili.
Mimi baadhi yao naanza kuwataja.
Sefue, anayeipajika ubalozi wa kipuuzi, halafu anashiriki kuliumiza taifa lililomtunza maisha yake yote.
Akina Kabuti Kalamaganda, ni wazee wapuuzi kabisa; kama walivyo Steven Wassira, Asha Migiro; Butiku, Jakaya Kikwete....
Hawa na wengine wengi ni muhimu waingie kwenye kumbukumbu zinazoonyesha ushiriki wao katika kulihujumu taifa hili kwa manufaa yao wenyewe