Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,450
- 5,279
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Semistatus Hussein Mashimba achukua fomu kuwania uteuzi wa kukiwakilisha chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025 katika Jimbo la Busega Mkoani Simiyu.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Mashimba amechukua fomu hiyo leo Julai 1 2025 katika ofisi ya CCM wilaya ya Busega, amesema ameamua kushirikiana na wananchi wenzake wa Busega na kutumia fursa zilizopo kuleta maendeleo ya jimbo na wananchi.