maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,829
Jiwe aliijenga kwa miaka mingapi? Unaemsifia hapa ni miaka mingapi kumalizia tu ni shida? na bado unataka tumsifie. Ungenambia nayeye kapanua barabara toka ubungo hadi kimara,au kutoka kibaha hadi mlandizi ningekuelewaHapa si bado mkandarasi hajakabidhi mradi na mradi unaendelea embu kitulize daraja la kutoka Mbezi stend kuja magufuli terminal maunganisho ya njia si yamefanyika Juzi kuwa na utulivu ukiwa unakunywa mtori nyama zipo chini.