Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Rafiki yangu John Pombe Magufuli pamoja na kupenda Ujenzi naimani huko alipo anapiga makofi kwa kasi ya Ujenzi anayokwenda nayo Dkt Samia Suluhu Hassan ni speed ya kasi na viwango vya hali ya Juu sana.
Rafiki yangu alipenda Ujenzi mno ila leo kama kuna nafasi ya nafsi kuona basi anashuhudia utekelezaji ukiwa umefanyika na hakuna kilichosimama daraja la Tanzanite limekamilika na daraja la Wami limekamilika na Ujenzi wa Daraja la Kigongo- Busisi lipo asilimia 79 litakamilika ndani ya muda.
Ujenzi wa reli ya SGR aliaacha ukiwa asilimia 43 tu Dar hadi Morogoro na asilimia 15 Morogoro hadi Dodoma-Makutopora kwa muda huu tunaozungumza Ujenzi wa SGR Dar hadi Moro umekamilika kutoka Morogoro hadi Dodoma ni asilimia 85 na tunakamilisha vipande vya kutoka Dodoma hadi Itigi na itigi kwenda Mwanza ni asilimia 40 sasa.
Dkt. Samia anaijenga nchi na kuijenga kwake Ujenzi unaonekana na kushikika ndani Mwaka 2022 amekamilisha maboma mapya ya vituo vya afya zaidi 304 naomba kwa pamoja popote ulipo usimame na kupiga makofi kwa hali hii.
Ukienda Njombe watakuelezea hali halisi Barabara mbovu na ngumu kama ile ya Makete-Njombe hakuna tena utelezi waliokulia Njombe wanaifahamu vizuri hii Barabara. Festo Sanga Mwaka 2025 atakuwa anapita vijiji vya Njombe huku anapunga mkono maana watu wa Njombe watakuwa mashahidi wa Ujenzi wa Barabara za Lami.
Kuna siku natamani nikutane na Dkt Samia anipe siri ya mafanikio kukamilika kwa miradi hii mikubwa ya kimkakakati ndani ya muda mfupi siri iliyojificha nyuma spidi ya Ujenzi huu wa madarasa ya awali 15000 na madarasa haya ya pili zaidi ya 8000 huu Mwaka hakuna Mwanafunzi wa chaguo la Pili (second selection) madarasa tunayo yakutosha.
Phase 2 ya Mradi wa mwendokasi ikiwa inakamilika na Phase 3 ikiwa kwenye utekelezaji ghafla tuna Phase 4 na 5 ndugu zangu hakuna kilichosimama chini yake kasi ni kubwa mno Tanzania inajengwa sana. Lile bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere limefika asilimia zaidi ya 79 tumpe pongezi.
Pale kwa Ramaphosa kuna Jarida wanaliheshimu sana wale mabwana wanaitwa Business Insider walimtambua Dkt Samia kama ndiye kiongozi wa mfano anayeweka njia kwa Wanawake wengi kuaminika zaidi.
Niseme tu Tanzania ni salama zaidi ya Jana chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan.