SI KWELI PreGE2025 Dkt. Nshala ajiuzulu CHADEMA

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hilo gazeti habari zake nyingi ni propaganda na uchonganishi, mnaweza pitia nature ya habari zake nyingine, ni propaganda tu....

Mfano, kuna habari ya Lema kutorosha 200M ya tone tone

Mange Kinambi kutembea na baba yake mzazi

Wasaidizi wa Gwajima kukutwa na Heroine..

Ilimradi tu wachafue hali ya hewa, mtafuteni mmiliki wake, nadhani anaweza kuwa Musiba.....ama pandisheni habari nyingine za kishindo tulinganishe ulali wake
 
Kabla hamjatoa habari mtafuteni Cyprian Musiba kwanza awape ushauri. Huyu amejifunza mengi kipindi kile akijiita mwana harakati huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…