Mwanahalisi20
Senior Member
- May 5, 2020
- 132
- 152
Huyu mwandishi wa makala hii ni wakala wa huyo mganga wa kienyeji, hakuna kingine zaidi ya kuwa anampigia debe.
Weka anuani za huyo mganga wa Mwigulu hapa, atakayetaka atamtafuta.
Uchawi siasa wasukum
Ndio mwisho wetu wa kufikiri ulikofikiaLeo nimeshuhudia watu wanauza majani ya mikaratusi nk kwaajili ya kujifukizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa yule mzee hilo linawezekana!
Mie mkulima hela kwangu sio deal kama ilivyo mavuno. Kama mvua isingenyesha mwaka huu labda ningekuwa mashakani!Sina uhakika kama una hela ya kula kesho na miezi sita ikitokea lock down alafu unahangaika na mtu level ya waziri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe maana hata ndevu hanyoi ni mchafu sn.Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Mbona yule ndiyo tabia yakeNilitegemea kusikia ameenda kwa Padre kuombewa!!!!Kumbe anatumia nguvu za Giza toka kwa Vigagula wa Kinyiramba na Kinyaturu....!!!!
Bblia inasema: AMELAANIWA AMTEGEMEA MWANADAMU!
Mkuu acha kupoteza muda wako hiyo CCM yenu ndivyo ilivyo ,Mwigulu aliwaambia msimfuate kwenye kina kirefu ,matokeo yake mnayaona ,Mbunge wa Iramba Magharibi atachaguliwa na Mwenyekiti wenu! Kama hali ya sasa itaendelea kama ilivyo!Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Yaani Tanzania watu wamejifukiza wamekuwa wajinga yaani hii CORONA iishe tu
ndio ila abadilishe tu ule mwaka.Kwa hiyo majina yake kwenye mawe asiyafute?
Hivi huyu Profesa yupo nchi hii? Kitambo sana sijamuona hata kwenye mediaKitila Mkumbo taratiiibuuu anabuma
Madelu kweli yuko kina kirefu
ZiwaTanganyika mamba wamo tena wengi tuKila maji yana kina chake... Mamba na ubabe wake wote ataishia mtoni na ziwani.. Tena sio Tanganyika ziwa
Jr
Mtu yupo karne ya 21 bado anaona tupo karne 16 sijui kwanini watu hawa wamezaliwa karne hii bora tu wangezaliwa karne za huko nyuma