Hahaha.........ila hata ikiisha Corona pamoja na maombi ambayo watz walikubali kufanya nahisi kuna kitu kitaendelea ambacho ni UTAWALA WA MABAVU WA JIWE....Kutekna na kupigana risasi kunaweza kuja kwa kasi zaidi kuliko miaka 5 iliyopitaYaani Tanzania watu wamejifukiza wamekuwa wajinga yaani hii CORONA iishe tu
Mungu apishe mbali aiseeHahaha.........ila hata ikiisha Corona pamoja na maombi ambayo watz walikubali kufanya nahisi kuna kitu kitaendelea ambacho ni UTAWALA WA MABAVU WA JIWE....Kutekna na kupigana risasi kunaweza kuja kwa kasi zaidi kuliko miaka 5 iliyopita
Wanafahamia huko mwigulu na mkulu.Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Leo nimeshuhudia watu wanauza majani ya mikaratusi nk kwaajili ya kujifukiziaYaani Tanzania watu wamejifukiza wamekuwa wajinga yaani hii CORONA iishe tu
Sina uhakika kama una hela ya kula kesho na miezi sita ikitokea lock down alafu unahangaika na mtu level ya waziriSiku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Fools at workSiku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi). Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake. Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu. Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.
Kwa hiyo majina yake kwenye mawe asiyafute?