Dkt. Mwigulu atembelea Vatican City

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
529
Reaction score
361
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—§π—˜π— π—•π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—©π—”π—§π—œπ—–π—”π—‘ π—–π—œπ—§π—¬

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa jijini Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo, uliofanyika Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).

Akiwa Vatican City, Waziri Mkuu alikutana na Mkuu wa Itifaki wa Sekretarieti ya Nchi ya Vatican, Monsinyori Javier Domingo FernΓ‘ndez GonzΓ‘lez.

Katika ziara hiyo, Dkt. Mwigulu pia alitembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria na kiutamaduni ya Vatican City, yenye umuhimu mkubwa katika historia ya Kanisa Katoliki duniani.


​
 
Ooh,
beautiful,

well done Dr Mwigulu Nchemba, PM of great republic of Tanzania 🀝
 
Mama waziri mkuu Pochi ya Gucci USD 2000, wakati nchini mwake kuna shule havina vyoo hiyo pochi tu vyoo kadhaa.
 
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—§π—˜π— π—•π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—©π—”π—§π—œπ—–π—”π—‘ π—–π—œπ—§π—¬

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo uliofanyika Makao Makuu ya FAO, ambako alikutana na Mkuu wa Itifaki wa Sekretarieti ya Nchi ya Vatican, Monsinyori Javier Domingo FernΓ‘ndez GonzΓ‘lez, na kutembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria na kiutamaduni ya Vatican City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…