Dkt. Mwigulu akagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji Ruvu chini

Dkt. Mwigulu akagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji Ruvu chini

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—”π—šπ—¨π—” π—›π—”π—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 π—¨π—­π—”π—Ÿπ—œπ—¦π—›π—”π—π—œ 𝗑𝗔 π—¨π—¦π—”π— π—•π—”π—­π—”π—π—œ π—ͺ𝗔 π— π—”π—π—œ π—₯𝗨𝗩𝗨 π—–π—›π—œπ—‘π—œ

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ilianza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

β€œMipango hii ya ujenzi wa miradi inayolenga kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji ilianza muda mrefu, Serikali iliona na ilianza kutafuta majawabu ya hali hii miaka mitatu iliyopita kwa kujenga miradi mikubwa itakayotoa matokeo chanya” Amesema Dkt. Mwigulu

1767095849365.png

1767095908630.png
 

Attachments

  • IMG-20251230-WA0070.jpg
    IMG-20251230-WA0070.jpg
    150.9 KB · Views: 11
  • IMG-20251230-WA0073.jpg
    IMG-20251230-WA0073.jpg
    207.5 KB · Views: 6
  • IMG-20251230-WA0074.jpg
    IMG-20251230-WA0074.jpg
    248.6 KB · Views: 5
  • IMG-20251230-WA0075.jpg
    IMG-20251230-WA0075.jpg
    163 KB · Views: 5
  • IMG-20251230-WA0069.jpg
    IMG-20251230-WA0069.jpg
    235.3 KB · Views: 9
  • IMG-20251230-WA0071.jpg
    IMG-20251230-WA0071.jpg
    241.1 KB · Views: 6
  • IMG-20251230-WA0069(1).jpg
    IMG-20251230-WA0069(1).jpg
    235.3 KB · Views: 8

Similar Discussions

Back
Top Bottom