Dkt. Mwaka na serikali, nani wa kulaumiwa?

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
Dr MWAKA NA SERIKALI WA KULAUMIWA NANI?

Kuna mjadala mzito unaoendelea karibu kila kona ya nchi hii, huki mitandaoni ndipo ulipooenea zaidi, mjadala huo unamuhusu Dr aliyejinasibu kwamba yeye ni tabibu bingwa kupitia Kliniki yake iitwayo Fore Plan iliyopo pale Ilala Bungoni jijini Dar.

Nimejaribu kuufatilia mjadala huo bado sijauona ukijadiliwa kimuonekano unaopaswa kutazamwa na kwamba ni nini tatizo na hatma yake

Nikijiuliza

1. Kuna herbal clinic ngapi Tanzania?

2. Kwa nini aanze na ForePlan?

3. Kulikuwa na doubts zipi hata mpaka aanzie pale?

Ebu tukae tufikiri kwanza Tusikute Tumeanzisha serikali ya visirani, kukomoana, hujuma na kulipa visasi?

Tafadhalini watanzania Tanzania yetu ni ile ile itikadi za vyama na dini waka tofauti zetu zingine zozote ziwe za ukabila na hata ukanda zisitugawe tukausahau utanzania wetu, tukumbuke hakuna amani pasipo haki tusipelekwe tu puta na hawa wanasiasa tukumbuke pamoja na yote mwisho wa siku wanasiasa ni watafuta pesa kama watu wengine hivyo wasijifanye wao ni malaika kila mahali wako sawa.

Ni nani kati yetu imemuingia akilini Clinic iliyoanzishwa tangu October 2010 tabibu wake apate kijicheti tena cha kuattend clinic moja huko Guanzhou mwaka jana?

(na tena kuna taarifa kuwa zile machine ukizinunua ni lazima uattend training ya kuzitumia na huenda ndio hiyo ya mwaka)
Sasa tujiulize ilikuaje mtu akawepo muda wote huo?

Waziri wa Afya where were you?

Msajili wa Clinic za tiba mbadala huyu jamaa alikuonesha vyeti vipi hata ukampa ruhusa ya kutibu dada zetu na Mama zetu?

Je mliwahi kumfuatilia utendaji kazi wake na kama kweli wagonjwa wake wanapona ama ikikuwa kiini macho?

Hizi lawama atupiwe nani, Dr Mwaka au Serikali?

Kwani serikali ni nani?

Kwa nini tunawaza hapa hapa tusiwaze kule mbali kuangalia majambo kwa upana wake?

Hii elimu yetu imepika watu wenye ufahamu wa aina gani au na mpishi wa wasomi wetu nae mbumbumbu kawalisha watu elimu mbichi?

Tunakimbilia tu kumlaumu Mwaka! Mwaka! Mwaka! Tunasahau alikuwapo pale kisheria, wengine utawasikia wakiuliza eti kwa nini akimbie?

Hivi kukimbia kuna husiana vipi na uhalali wa udaktari wake?

Au labda hatukumbuki kamati ya Bunge ilipozuru halmashauri ya Jiji la Mwanza maofisa wote walizikimbia ofisi zao, Ina maana nao hawakuwa maofisa?

Why don't we think a little bit more hence judging from point to point and disagree where necessary?

Kwa nini hata tuliache suala kubwa lililosababisha tukimbilie kisababishwa?
Kama Mwaka si tabibu na serikali yetu ingekuwa makini huu mjadala usingekuwepo leo sasa kutokana na udhaifu wa serikali kuna Dr Mwaka leo tunaacha kujadili udhaifu huo ambao ndio point ya msingi tunamsonta huyu Mwaka ambae ni minor point.

To me, it is fallacy to lament on Mwaka neglect the government silly on making sure its people are safe

Tena hili ni suala pana mno ilitupasa tuungane sote kwa pamoja na kuishtaki serikali kwa uzembe huu ambao pengine umepelekea watu wengi kupoteza maisha endapo itathibitika tabibu Mwaka ni tapeli na wala sio kumzodoa.

Kama Mwaka sio Dr kaishitakini serikali yenu kwa uzembe uliohatarisha maisha yenu acheni kunong'ona nong'ona na kuongelea matumboni.

Mimi nikajua watanzania tumeshabadilika kumbe yule mzee hakuwa mjinga kusema ELIMU ELIMU ELIMU

Naona kweli inahitajika ELIMU ELIMU ELIMU kuwaelekeza maana manakariri tu hamuelewi na mkielewa hamuelewi inavyopaswa kueleweka
Sio kwamba namtetea MWAKA hapana nachotaka tufikirie kuna nini nyuma ya pazia hata iwe hivi tusikurupuke tu kutupa mawe upande tusiouona tutawalenga wasiohusika, Sisi tulipaswa kukaa na kusubiri kuisikia serikali inatoa tamko gani juu ya tabibu huyu na ituambie ilimruhusu vipi na ikiwa kuna watu waliathirika na huduma zake itawajibika vipi?

Tuwe tunawaza sawasawa kule Uingereza kuna kijana alianguka kwenye sink la barabarani akaishtaki manispaa akalipwa na kuitoza faini kubwa kwa kutokuwa makini Je hapa sisi hatuoni ni muda wa HapaKudaiTu?

Kinachonisikitisha zaidi ni watu aliokuwa akiwahudumia Dr Huyu na kama mjuavyo tatizo kama kutokupata mtoto linawafanya wanandoa kuwa desperate sana yaani hata akiwa muislamu ukamwambia dawa yake ni Kula kinyesi cha Nguruwe basi atakula tu sasa kama alikuwa akiwachezea kiini macho serikali inapaswa iwajibike katika hilo.

Tusiwe watu wa kulalamika tu Kulikuwa na mkuu wa wilaya pale hakuwahi kuzuru pale mpaka aje NW au yeye kazi yake ni WEKA NDANI TU?

Sikatai kama hatokuwa daktari wa kweli basi huenda aliwalaghai wengi mno hasa wale aliowasema wana matatizo ya ugumba nahisi wazi labda kutokana na Dada zetu kuanza mapenzi wakiwa bado wadogo na kutumia njia za uzazi wa mpango pasipo ushauri wa kitabibu ukute ilimsababishia mtu hormanal disorder au hormonal imbalance amehangaika kupata mtoto hajapata akaenda pale akapewa list ya matunda na dawa za kubalance hormone tu akawa sawa na kujiona kapona ugumba.

Lakini hili suala la madaktari feki si la leo kuna yule aliyekamatwa Manyara, kuna yule Bingwa wa Moyo jina namuhifadhi lakini ni mtu wa Morogoro, kuna na wengine wengi tumewahi kuhabarishwa mtu aliyefanyiwa operation ya kichwa kimakosa hii yote inatokana na nini?

Kwa nini tunacheza na uhai wa watanzania hawa?

Kwa nini tunayaweka maisha ya watanzania hawa rehani kiasi hiki?

Kwa nini tumlaumu mbwa kumng'ata mpita njia tuache kumlaumu anayemfuga mbwa huyo akamuacha azurure hovyo?

Serikali mnalikwepaje hili?

Nilitegemea madaktari wa tiba mbadala pamoja na chama chao wangeingilia kati suala hili lakini bado nadhani wanaweza kufanya hivyo, inapaswa ikithibitika MWAKA hana sifa za kuwa tabibu waishtaki serikali kwa kuishushia wasifu taaluma yao na kwa kuwa kutokana na kashfa kubwa kama hii basi huenda kukawa na wimbi kubwa la watu watakaoathirika kisaikolojia na kuwaona watabibu mbadala ni waongo na makanjanja na hata sector hiyo kukosa soko tena wakati wengi walishaanza kuiamini mno.

MWISHO niiombe serikali huu uwe mwanzo tu waendelee kuna udanganyifu mkubwa na uvunjifu wa sheria mkubwa hata huku mitaani tu kwa mfano kwenye basi aweza kupanda mtu from nowhere akaanza kuuza dawa za miti shamba na nyingine za kichina wao kama serikali hili hawalijui hata walizuie?

Wasisahau kutoa taarifa za Babu wa Loliondo huenda pia kuna watu wengi waliathirika ama kufa kutokana na dawa yake almaarufu kikombe watuambie yeye walimchukulia hatua gani au kwa kuwa nao walipata kikombe basi kifo cha wengi haru. Mtazamo tu.
 
serikali walio ruhusu watu wasio na taaluma kuchezea miili ya binadamu tena kwa matangazo wakijitajirisha huku waliosomea wakibaki wakiwa
 
Hii habari ya foreplan clinic inanikumbusha habari ya Dr masau bingwa WA upasuaji WA moyo alifanyiwa majungu na wizara ya afya akabambikiwa kesi mpaka hospitali yake ikafungwa pale leaders tazara akitokea mikocheni kabla ya hapo ,alifilisiwa akawa na mawazo mengi mpaka akafariki.
hii ndiyo tanzania
 
Ndani ya serikali ya Kikwete unatarajia lipi??? ulikuwa ni muda wa wajanja kula bata kiulaini.... so usishangae sana.... haya ni matUnda ya kuwa na serikali dhaifu kupindukia....

Labda Magu anaweza kuweka mambo sawa!!!! Muda utatuambia
 
Maisha ya watu ni jambo la thamani kuliko pesa. Uanze utu ije.pesa. ila ni tofauti pesa inalindwa na kupewa kipaumbele kuliko watu. Thamani ya utu imeshuka pesa imepanda bei.
 
Dr MWAKA NA SERIKALI WA KULAUMIWA NANI?

Kuna mjadala mzito unaoendelea karibu kila kona ya nchi hii, huki mitandaoni ndipo ulipooenea zaidi, mjadala huo unamuhusu Dr aliyejinasibu kwamba yeye ni tabibu bingwa kupitia Kliniki yake iitwayo Fore Plan iliyopo pale Ilala Bungoni jijini Dar.

Nimejaribu kuufatilia mjadala huo bado sijauona ukijadiliwa kimuonekano unaopaswa kutazamwa na kwamba ni nini tatizo na hatma yake

Nikijiuliza

1. Kuna herbal clinic ngapi Tanzania?

2. Kwa nini aanze na ForePlan?

3. Kulikuwa na doubts zipi hata mpaka aanzie pale?

Ebu tukae tufikiri kwanza Tusikute Tumeanzisha serikali ya visirani, kukomoana, hujuma na kulipa visasi?

Tafadhalini watanzania Tanzania yetu ni ile ile itikadi za vyama na dini waka tofauti zetu zingine zozote ziwe za ukabila na hata ukanda zisitugawe tukausahau utanzania wetu, tukumbuke hakuna amani pasipo haki tusipelekwe tu puta na hawa wanasiasa tukumbuke pamoja na yote mwisho wa siku wanasiasa ni watafuta pesa kama watu wengine hivyo wasijifanye wao ni malaika kila mahali wako sawa.

Ni nani kati yetu imemuingia akilini Clinic iliyoanzishwa tangu October 2010 tabibu wake apate kijicheti tena cha kuattend clinic moja huko Guanzhou mwaka jana?

(na tena kuna taarifa kuwa zile machine ukizinunua ni lazima uattend training ya kuzitumia na huenda ndio hiyo ya mwaka)
Sasa tujiulize ilikuaje mtu akawepo muda wote huo?

Waziri wa Afya where were you?

Msajili wa Clinic za tiba mbadala huyu jamaa alikuonesha vyeti vipi hata ukampa ruhusa ya kutibu dada zetu na Mama zetu?

Je mliwahi kumfuatilia utendaji kazi wake na kama kweli wagonjwa wake wanapona ama ikikuwa kiini macho?

Hizi lawama atupiwe nani, Dr Mwaka au Serikali?

Kwani serikali ni nani?

Kwa nini tunawaza hapa hapa tusiwaze kule mbali kuangalia majambo kwa upana wake?

Hii elimu yetu imepika watu wenye ufahamu wa aina gani au na mpishi wa wasomi wetu nae mbumbumbu kawalisha watu elimu mbichi?

Tunakimbilia tu kumlaumu Mwaka! Mwaka! Mwaka! Tunasahau alikuwapo pale kisheria, wengine utawasikia wakiuliza eti kwa nini akimbie?

Hivi kukimbia kuna husiana vipi na uhalali wa udaktari wake?

Au labda hatukumbuki kamati ya Bunge ilipozuru halmashauri ya Jiji la Mwanza maofisa wote walizikimbia ofisi zao, Ina maana nao hawakuwa maofisa?

Why don't we think a little bit more hence judging from point to point and disagree where necessary?

Kwa nini hata tuliache suala kubwa lililosababisha tukimbilie kisababishwa?
Kama Mwaka si tabibu na serikali yetu ingekuwa makini huu mjadala usingekuwepo leo sasa kutokana na udhaifu wa serikali kuna Dr Mwaka leo tunaacha kujadili udhaifu huo ambao ndio point ya msingi tunamsonta huyu Mwaka ambae ni minor point.

To me, it is fallacy to lament on Mwaka neglect the government silly on making sure its people are safe

Tena hili ni suala pana mno ilitupasa tuungane sote kwa pamoja na kuishtaki serikali kwa uzembe huu ambao pengine umepelekea watu wengi kupoteza maisha endapo itathibitika tabibu Mwaka ni tapeli na wala sio kumzodoa.

Kama Mwaka sio Dr kaishitakini serikali yenu kwa uzembe uliohatarisha maisha yenu acheni kunong'ona nong'ona na kuongelea matumboni.

Mimi nikajua watanzania tumeshabadilika kumbe yule mzee hakuwa mjinga kusema ELIMU ELIMU ELIMU

Naona kweli inahitajika ELIMU ELIMU ELIMU kuwaelekeza maana manakariri tu hamuelewi na mkielewa hamuelewi inavyopaswa kueleweka
Sio kwamba namtetea MWAKA hapana nachotaka tufikirie kuna nini nyuma ya pazia hata iwe hivi tusikurupuke tu kutupa mawe upande tusiouona tutawalenga wasiohusika, Sisi tulipaswa kukaa na kusubiri kuisikia serikali inatoa tamko gani juu ya tabibu huyu na ituambie ilimruhusu vipi na ikiwa kuna watu waliathirika na huduma zake itawajibika vipi?

Tuwe tunawaza sawasawa kule Uingereza kuna kijana alianguka kwenye sink la barabarani akaishtaki manispaa akalipwa na kuitoza faini kubwa kwa kutokuwa makini Je hapa sisi hatuoni ni muda wa HapaKudaiTu?

Kinachonisikitisha zaidi ni watu aliokuwa akiwahudumia Dr Huyu na kama mjuavyo tatizo kama kutokupata mtoto linawafanya wanandoa kuwa desperate sana yaani hata akiwa muislamu ukamwambia dawa yake ni Kula kinyesi cha Nguruwe basi atakula tu sasa kama alikuwa akiwachezea kiini macho serikali inapaswa iwajibike katika hilo.

Tusiwe watu wa kulalamika tu Kulikuwa na mkuu wa wilaya pale hakuwahi kuzuru pale mpaka aje NW au yeye kazi yake ni WEKA NDANI TU?
i
Sikatai kama hatokuwa daktari wa kweli basi huenda aliwalaghai wengi mno hasa wale aliowasema wana matatizo ya ugumba nahisi wazi labda kutokana na Dada zetu kuanza mapenzi wakiwa bado wadogo na kutumia njia za uzazi wa mpango pasipo ushauri wa kitabibu ukute ilimsababishia mtu hormanal disorder au hormonal imbalance amehangaika kupata mtoto hajapata akaenda pale akapewa list ya matunda na dawa za kubalance hormone tu akawa sawa na kujiona kapona ugumba!

Lakini hili suala la madaktari feki si la leo kuna yule aliyekamatwa Manyara, kuna yule Bingwa wa Moyo jina namuhifadhi lakini ni mtu wa Morogoro, kuna na wengine wengi tumewahi kuhabarishwa mtu aliyefanyiwa operation ya kichwa kimakosa hii yote inatokana na ,?

Kwa nini tunacheza na uhai wa watanzania hawa?

Kwa nini tunayaweka maisha ya watanzania hawa rehani kiasi hiki?😛
Kwa nini tumlaumu mbwa kumng'ata mpita njia tuache kumlaumu anayemfuga mbwa huyo akamuacha azurure hovyo?

Serikali mnalikwepaje hili?

Nilitegemea madaktari wa tiba mbadala pamoja na chama chao wangeingilia kati suala hili lakini bado nadhani wanaweza kufanya hivyo, inapaswa ikithibitika MWAKA hana sifa za kuwa tabibu waishtaki serikali kwa kuishushia wasifu taaluma yao na kwa kuwa kutokana na kashfa kubwa kama hii basi huenda kukawa na wimbi kubwa la watu watakaoathirika kisaikolojia na kuwaona watabibu mbadala ni waongo na makanjanja na hata sector hiyo kukosa soko tena wakati wengi walishaanza kuiamini mno.

MWISHO niiombe serikali huu uwe mwanzo tu waendelee kuna udanganyifu mkubwa na uvunjifu wa sheria mkubwa hata huku mitaani tu kwa mfano kwenye basi aweza kupanda mtu from nowhere akaanza kuuza dawa za miti shamba na nyingine za kichina wao kama serikali hili hawalijui hata walizuie?

Wasisahau kutoa taarifa za Babu wa Loliondo huenda pia kuna watu wengi waliathirika ama kufa kutokana na dawa yake almaarufu kikombe watuambie yeye walimchukulia hatua gani au kwa kuwa nao walipata kikombe basi kifo cha wengi haru. Mtazamo tu.

Huko Bungeni mwezi Januari 2016 kutawaka moto wallahi nasema!

Inavoonekana sasa kama wewe ulikuwa unashabikia upinzani na una biashara yako Kaa Chonjo Saa Mbaya{KCSM}!

Naweza kupata picha kubwa Dr.Mwaka atakuwa na ugomvi binafsi na Dr.Kigwangalla kutokana na aidha mgongano wa maslahi upande wa Biashara Tiba.Lakini pia chuki za kisiasa yote haya yaangaliwe ili kubaini chanzo!
Lazima Kigwangallah aulizwe why Mwaka and why not Profesa,Maji Marefu au Babu wa Loliondo?There must be something fishy going around in the name of Hapa Kazi Tu.

Waganga wa Tiba za Jadi wako wengi sana now why Dr.Mwaka alone?
 
Kigwangala ni mpuuzi ameacha kwenda Hosipital za serekali kukagua hali ya Huduma anapambana na mlalahoi kama Mwaka!!
 
naungana kabisa na kitendo cha mwaka kumkimbia kigwangwala. sioni ni sababu gani inayowafanya hawa wateule wa magufuli kwenda na msururu wa waandishi wa habari kama sio kwenda kudhalilishana tu kwenye media. sawa tu.
 
Tatzo la Mwaka ni kujitangaza.. na kilichomponza ni kujitangaza kutibu kitaalam yan kisasa, wakati yeye anesajiri ni mtaalam wa tiba asili, ndo hapo anatakiwa apeleke vielelezo vyake,
kitendo cha Mwaka kukimbia me pia kimenipa wasiwas, kwann akimbie? kama anajiamin na huduma yake na hana longo longo kwann yeye na wasaidiz wake wakimbie? hapo mim pia napata was was huenda bae akawa jipu..
ngoja.. tuone Muvie ndo imeanza..
 
Dr MWAKA NA SERIKALI WA KULAUMIWA NANI?

Kuna mjadala mzito unaoendelea karibu kila kona ya nchi hii, huki mitandaoni ndipo ulipooenea zaidi, mjadala huo unamuhusu Dr aliyejinasibu kwamba yeye ni tabibu bingwa kupitia Kliniki yake iitwayo Fore Plan iliyopo pale Ilala Bungoni jijini Dar.

Nimejaribu kuufatilia mjadala huo bado sijauona ukijadiliwa kimuonekano unaopaswa kutazamwa na kwamba ni nini tatizo na hatma yake

Nikijiuliza

1. Kuna herbal clinic ngapi Tanzania?

2. Kwa nini aanze na ForePlan?

3. Kulikuwa na doubts zipi hata mpaka aanzie pale?

Ebu tukae tufikiri kwanza Tusikute Tumeanzisha serikali ya visirani, kukomoana, hujuma na kulipa visasi?

Tafadhalini watanzania Tanzania yetu ni ile ile itikadi za vyama na dini waka tofauti zetu zingine zozote ziwe za ukabila na hata ukanda zisitugawe tukausahau utanzania wetu, tukumbuke hakuna amani pasipo haki tusipelekwe tu puta na hawa wanasiasa tukumbuke pamoja na yote mwisho wa siku wanasiasa ni watafuta pesa kama watu wengine hivyo wasijifanye wao ni malaika kila mahali wako sawa.

Ni nani kati yetu imemuingia akilini Clinic iliyoanzishwa tangu October 2010 tabibu wake apate kijicheti tena cha kuattend clinic moja huko Guanzhou mwaka jana?

(na tena kuna taarifa kuwa zile machine ukizinunua ni lazima uattend training ya kuzitumia na huenda ndio hiyo ya mwaka)
Sasa tujiulize ilikuaje mtu akawepo muda wote huo?

Waziri wa Afya where were you?

Msajili wa Clinic za tiba mbadala huyu jamaa alikuonesha vyeti vipi hata ukampa ruhusa ya kutibu dada zetu na Mama zetu?

Je mliwahi kumfuatilia utendaji kazi wake na kama kweli wagonjwa wake wanapona ama ikikuwa kiini macho?

Hizi lawama atupiwe nani, Dr Mwaka au Serikali?

Kwani serikali ni nani?

Kwa nini tunawaza hapa hapa tusiwaze kule mbali kuangalia majambo kwa upana wake?

Hii elimu yetu imepika watu wenye ufahamu wa aina gani au na mpishi wa wasomi wetu nae mbumbumbu kawalisha watu elimu mbichi?

Tunakimbilia tu kumlaumu Mwaka! Mwaka! Mwaka! Tunasahau alikuwapo pale kisheria, wengine utawasikia wakiuliza eti kwa nini akimbie?

Hivi kukimbia kuna husiana vipi na uhalali wa udaktari wake?

Au labda hatukumbuki kamati ya Bunge ilipozuru halmashauri ya Jiji la Mwanza maofisa wote walizikimbia ofisi zao, Ina maana nao hawakuwa maofisa?

Why don't we think a little bit more hence judging from point to point and disagree where necessary?

Kwa nini hata tuliache suala kubwa lililosababisha tukimbilie kisababishwa?
Kama Mwaka si tabibu na serikali yetu ingekuwa makini huu mjadala usingekuwepo leo sasa kutokana na udhaifu wa serikali kuna Dr Mwaka leo tunaacha kujadili udhaifu huo ambao ndio point ya msingi tunamsonta huyu Mwaka ambae ni minor point.

To me, it is fallacy to lament on Mwaka neglect the government silly on making sure its people are safe

Tena hili ni suala pana mno ilitupasa tuungane sote kwa pamoja na kuishtaki serikali kwa uzembe huu ambao pengine umepelekea watu wengi kupoteza maisha endapo itathibitika tabibu Mwaka ni tapeli na wala sio kumzodoa.

Kama Mwaka sio Dr kaishitakini serikali yenu kwa uzembe uliohatarisha maisha yenu acheni kunong'ona nong'ona na kuongelea matumboni.

Mimi nikajua watanzania tumeshabadilika kumbe yule mzee hakuwa mjinga kusema ELIMU ELIMU ELIMU

Naona kweli inahitajika ELIMU ELIMU ELIMU kuwaelekeza maana manakariri tu hamuelewi na mkielewa hamuelewi inavyopaswa kueleweka
Sio kwamba namtetea MWAKA hapana nachotaka tufikirie kuna nini nyuma ya pazia hata iwe hivi tusikurupuke tu kutupa mawe upande tusiouona tutawalenga wasiohusika, Sisi tulipaswa kukaa na kusubiri kuisikia serikali inatoa tamko gani juu ya tabibu huyu na ituambie ilimruhusu vipi na ikiwa kuna watu waliathirika na huduma zake itawajibika vipi?

Tuwe tunawaza sawasawa kule Uingereza kuna kijana alianguka kwenye sink la barabarani akaishtaki manispaa akalipwa na kuitoza faini kubwa kwa kutokuwa makini Je hapa sisi hatuoni ni muda wa HapaKudaiTu?

Kinachonisikitisha zaidi ni watu aliokuwa akiwahudumia Dr Huyu na kama mjuavyo tatizo kama kutokupata mtoto linawafanya wanandoa kuwa desperate sana yaani hata akiwa muislamu ukamwambia dawa yake ni Kula kinyesi cha Nguruwe basi atakula tu sasa kama alikuwa akiwachezea kiini macho serikali inapaswa iwajibike katika hilo.

Tusiwe watu wa kulalamika tu Kulikuwa na mkuu wa wilaya pale hakuwahi kuzuru pale mpaka aje NW au yeye kazi yake ni WEKA NDANI TU?

Sikatai kama hatokuwa daktari wa kweli basi huenda aliwalaghai wengi mno hasa wale aliowasema wana matatizo ya ugumba nahisi wazi labda kutokana na Dada zetu kuanza mapenzi wakiwa bado wadogo na kutumia njia za uzazi wa mpango pasipo ushauri wa kitabibu ukute ilimsababishia mtu hormanal disorder au hormonal imbalance amehangaika kupata mtoto hajapata akaenda pale akapewa list ya matunda na dawa za kubalance hormone tu akawa sawa na kujiona kapona ugumba.

Lakini hili suala la madaktari feki si la leo kuna yule aliyekamatwa Manyara, kuna yule Bingwa wa Moyo jina namuhifadhi lakini ni mtu wa Morogoro, kuna na wengine wengi tumewahi kuhabarishwa mtu aliyefanyiwa operation ya kichwa kimakosa hii yote inatokana na nini?

Kwa nini tunacheza na uhai wa watanzania hawa?

Kwa nini tunayaweka maisha ya watanzania hawa rehani kiasi hiki?

Kwa nini tumlaumu mbwa kumng'ata mpita njia tuache kumlaumu anayemfuga mbwa huyo akamuacha azurure hovyo?

Serikali mnalikwepaje hili?

Nilitegemea madaktari wa tiba mbadala pamoja na chama chao wangeingilia kati suala hili lakini bado nadhani wanaweza kufanya hivyo, inapaswa ikithibitika MWAKA hana sifa za kuwa tabibu waishtaki serikali kwa kuishushia wasifu taaluma yao na kwa kuwa kutokana na kashfa kubwa kama hii basi huenda kukawa na wimbi kubwa la watu watakaoathirika kisaikolojia na kuwaona watabibu mbadala ni waongo na makanjanja na hata sector hiyo kukosa soko tena wakati wengi walishaanza kuiamini mno.

MWISHO niiombe serikali huu uwe mwanzo tu waendelee kuna udanganyifu mkubwa na uvunjifu wa sheria mkubwa hata huku mitaani tu kwa mfano kwenye basi aweza kupanda mtu from nowhere akaanza kuuza dawa za miti shamba na nyingine za kichina wao kama serikali hili hawalijui hata walizuie?

Wasisahau kutoa taarifa za Babu wa Loliondo huenda pia kuna watu wengi waliathirika ama kufa kutokana na dawa yake almaarufu kikombe watuambie yeye walimchukulia hatua gani au kwa kuwa nao walipata kikombe basi kifo cha wengi haru. Mtazamo tu.

mkuu uliyoyasema in ukweli tupu maana huyu mwaka aliachwa akatamba mpakaa TBC taifa na kwenye media nyingi tu. Jana nmelisemea hlo jambo humu nikaitwa Dr mwaka. hii serikali no visasi na vijembe pamoja na kufitiniana
 
Ndugu kuendesha serikali kunahitaji akili pana zaidi ya hii uliyotumia kuandika tungo hii ndeefu.
Shukuru kuwa sasa wameingia watu wanaoweza kufuatilia hata hayo yanayoonekana kero.Usisahau hata wewe ulikuwepo muda tu hayo yakiendelea,hujawahi kupaza hata kisauti kiduchu- sasa mwacheni kigwangala afanye kazi inawezekana anajua kwa nini haikuwa hivyo hapo kabla
 
unazungumzia serikali gani ya Kikwete ama hii ya Jjohn Pombe Magufuli...utakua na maslahi binafsi huna lolote
 
Duuuh. We have to look past mistakes and correct them in the future. Haijalishi ilikua utawala wa nani.
 
Watanzania wengi ni wagonjwa watu kama kina mwaka lazima wapate wateja huduma mbovu za hospitali za umma na bei ya juu huko private, mwaka amesaidia wengi na analipa kodi sasa waseme siri iliyopo hapo
 
Back
Top Bottom