Dkt. Mpango simama kwenye safu yako, mwache Rais afanye kazi yake

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.

Mwache mh Suluhu afanye kazi aliyotumwa.

Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais Mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.

Nimekuona na kuusikiliza wakati wa kuthibitishwa na bunge na baada ya kuapishwa.

Kuna viashiria vya kujiona ndiye Rais kamili.

Tunakufahamu vizuri sana wewe binafsi lakini kama haitoshi waha ni watu wataka kitawala na kuongoza na siyo kuongozwa.

Tabia hii ndiyo inayowapa kina Zitto, Kafulila, Machali na wengine.

Kwa hayati chukua yaliyo mema ambayo watu wamelalamjkia yaache kabisa
 
Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.
Mwache mh Suluhu afanyekazi aliyotumwa.
Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.

Nimekuona na kuusikiliza wakati wa kuthibitishwa na bunge na baada ya kuapishwa.
Kuna viashiria vya kujiona ndiye Rais kamili.
Tunakufahamu vizuri sana wewe binafsi lakini kama haitoshi waha ni watu wataka kitawala na kuongoza na siyo kuongozwa.

Tabia hii ndiyo inayowapa kina Zitto, kafulila, machali na wengine.
Kwa hayati chukua yaliyomema ambayo watu wamelalakia yaache kabisa
Na kazi kubwa ya makamo ni kuzindua warsha, semina elekezi, kufungua makongamano na kuweka jiwe la msingi. Astiki huko atuachie mama yetu atawale
 
Kama wasemavyo wahenga paka akiondoka panya hujitawala ndivyo unavyoweza kusema kwa Kigwangala.
Corona ipo kwa zaidi ya mwaka ,waliokuwa wamefanya lockdown wamechoka, waliochanjwa wamechoka ,wanaovaa barakoa za N95 wamechoka.
Jana tabibu mkuu huko Uingereza amesema wamechoka na wameamua wataishi na Corona kama mafua ya msimu tu.

Yote haya yakiwa yanatokea duniani, huku kwetu Tanzania anatokea Kigwangala na kuwataka Muhimbili waachane na tiba mbadala na viongozi wavae barakoa na watanzania wote tuchanjwe.!
Kigwangala fafanua tuchanjwe chanjo ya wave ipi ya Corona? Kumbuka sasa hivi tuko third wave of Corona na chanjo feki zimetapakaa kila kona.

Maana yake huyu Kigwangala angekuwa rais tungelazimishwa kuvaa barakoa za N95 nchi nzima ,lockdown nchi nzima huyu ni
mzee wa copy and paste.

Bila shaka Kigwangala anatumika na atakuwa amelipwa hela nzuri ili apigie debe hizi chanjo!, lakini hao wanaomtumia wamechelewa maana kote duniani watu wameamka na wanakubali hayati Dr Magufuli alikuwa sahihi kwenye mbinu za kukabiliana na hili gonjwa.
 
Mi ninachojua kazi za makamu wa raisi ni;

1)kupanda miti
2)kuzindua majengo/kushika mikasi

au nasema uongo ndugu zangu?
Na kazi kubwa ya makamo ni kuzindua warsha, semina elekezi, kufungua makongamano na kuweka jiwe la msingi. Astiki huko atuachie mama yetu atawale
Kifupi Makamu wa Rais ndiye 'Mkata Utepe Mkuu wa Serikali'

Yeye anahitaji kuwa na MKASI, HOTUBA MARIDHAWA pamoja na Ratiba ya Tepe za Kukatwa.

Ndio maana Gharib Bilal alikua the best VP maana alijua wajibu wake haswa!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.
Mwache mh Suluhu afanyekazi aliyotumwa.
Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.

Nimekuona na kuusikiliza wakati wa kuthibitishwa na bunge na baada ya kuapishwa.
Kuna viashiria vya kujiona ndiye Rais kamili.
Tunakufahamu vizuri sana wewe binafsi lakini kama haitoshi waha ni watu wataka kitawala na kuongoza na siyo kuongozwa.

Tabia hii ndiyo inayowapa kina Zitto, kafulila, machali na wengine.
Kwa hayati chukua yaliyomema ambayo watu wamelalakia yaache kabisa
Kuna Fable ya Icarus inaelekeza vizuri kwamba ukipewa nafasi; kuna standard za kuenda nazo ukipaa sana inta kwenye manyoya itayeyuka kwasababu ya jua, na ukipita chini sana manyoya yatakakamaa na baridi.

Mwambieni atambue kilichomuweka hapo siyo yeye bali Raisi kampendekeza yeye wapo wengi so aangalie job description yake.
 
Kifupi Makamu wa Rais ndiye 'Mkata Utepe Mkuu wa Serikali'

Yeye anahitaji kuwa na MKASI, HOTUBA MARIDHAWA pamoja na Ratiba ya Tepe za Kukatwa.

Ndio maana Gharib Bilal alikua the best VP maana alijua wajibu wake haswa!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Utawala umebadilika samia mwenyewe siku mbili za mwanzo za kumkabidhi madaraka alimwambia asimamie maswala ya uchumi. Maana yake ishu zote za kiuchumi iwe mikutano ya ndani na nje ya nchi tegemea kumwona moango na wataalamu wengine

Swala la kutembea na mikasi ni la kimazoea na halijaainishwa kwenye majukumu ya VP KWENYE KATIBA
 
Hizo alizoambiwa sisi watalaam tunaita ni 'specific duties' tena mi kwa muda maalum ila still moja kati ya 'General Duties' za VP ni kua 'MKATA UTEPE MKUU WA SERIKALI'

Back
Top Bottom