diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Mtu kwao,kwanini asijenge singida? Wachaga bwanaHONGERA mheshimiwa Mengi kwa mchango chadema igeni mfano wa Mzee Mengi.Nina swali kwa chadema hivi chadema mlishawahi changia hata dawati Moja la shule?
Acha wewe ungejua shule nyingi za Kilimanjaro za bweni wamejaa watoto wa mikoa mingine kwa asilimia kubwa sio wa Kilimanjaro usingeandika hiki.Mimi shahidi.
Mkuu Singida wana mzawa Mo Dewji
Yaani chadema elimu hawachangii hata dawati Moja na makao makuu hawajengi.Bunge liiombe serikali itangaze siku Maalumu ya kuitangaza chadema kama janga la kitaifa na siku hiyo iwe ya mapumziko na bendera zipepee robo mlingotiHahahaha
Makao makuu yao wamepangisha
Hahahaha
Kila mtu na tumbo lake pale aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujawahi sikia kuku mwenye kideri awewesekaje basi soma upupu wa huyuYaani chadema elimu hawachangii hata dawati Moja na makao makuu hawajengi.Bunge liiombe serikali itangaze siku Maalumu ya kuitangaza chadema kama janga la kitaifa na siku hiyo iwe ya mapumziko na bendera zipepee robo mlingoti
Na kweli kama hapa mtaani kwetu wamekuja watoto toka Morogoro kuja kusomea Moshi. Kurudi kwao hawataki kubeba maji na kutafuta kuni poriniAcha wewe ungejua shule nyingi za Kilimanjaro za bweni wamejaa watoto wa mikoa mingine kwa asilimia kubwa sio wa Kilimanjaro usingeandika hiki.Mimi shahidi.
Mazingira ya kusoma Kilimanjaro shule za Bweni yako vizuri mno kuanzia mazingira,hali ya hewa , discipline kwa wote kuanzia wanafunzi, walimu na wamiliki wa shule ziko vizuri na zimebalance.Huwezi ona mapungufu.Na kweli kama hapa mtaani kwetu wamekuja watoto toka Morogoro kuja kusomea Moshi. Kurudi kwao hawataki kubeba maji na kutafuta kuni porini
Kilimanjaro I love you much
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mwigulu chemba awajengee si alikuwa waziri wa polisi
Mzee humjui Mengi, kasaidia watu wengi sana, sio wachaga tu..hata hivyo sio vibaya pia hata kama angekua anasidia kwao tu
Zamani (1990s) wanafunzi wa mikoani walikuwa wengi sana Kilimanjaro siku hizi wamepungua sana kwani nao wamejenga shule nyingi.Na kweli kama hapa mtaani kwetu wamekuja watoto toka Morogoro kuja kusomea Moshi. Kurudi kwao hawataki kubeba maji na kutafuta kuni porini
Kilimanjaro I love you much
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukabila unamsumbua yeye mkuuMzee humjui Mengi, kasaidia watu wengi sana, sio wachaga tu..hata hivyo sio vibaya pia hata kama angekua anasidia kwao tu
Ukabila unakusumbua sana inaonyesha
Mbona unachanganya mada au muda wote unawaza siasa siasa ?HONGERA mheshimiwa Mengi kwa mchango chadema igeni mfano wa Mzee Mengi.Nina swali kwa chadema hivi chadema mlishawahi changia hata dawati Moja la shule?