Dkt. Magufuli seminari ya Katoke mwaka 1975

Dkt. Magufuli seminari ya Katoke mwaka 1975

Kumbe kasoma seminari? Ndio maana ana maadili mazuri tofauti na wasaka uraisi wengine wasiojua cha seminari wala nini.

Wakatoliki mpeni kura zenu zote tafadhali kijana wenu huyo aliyekulia mikononi mwenu.

Tunashukuru kwa malezi mazuri mliyompa mpaka leo hata sisi wengine ambao si wakatoliki tunamwona anafaa.
 
East African Eagle,

Kwa kigezo hicho unachowahamasisha wakatoliki wampe kura, vipi wafuasi wa mtume nao wakisema huyu ------ hatufai, tumtafute wa kwetu, huoni kama unataka kuchafua hali ya hewa?

Urais sio dhehebu wala dini, kusomea seminari au madrasa, urais ni zaidi ya hayo - dhamiri safi ya kuwatumikia wananchi na utii wa sheria bila kusahau kusimamia utekelezaji wake!
 
Ukiona mtu anachagua kuongozi kwa sababu ya dini, kabila au urafiki huyo ni mjinga na mpumbavu mkubwa...... By Mwalimu Nyerere 1995
 
Acha ungedere hatuongozwi kwa udini na mtoto wa shule za kata atakua nani
 
East African Eagle,

naona leo unailaumu CDM kutompitisha Dr Slaa ambaye hapa unasema hana sera ni mtukanaji. mkuu vipi unajichanganya sana kulikoni..!
 
East African Eagle,

Hata mimi nimesomea Nyegezi seminary lakini kura yangu UKAWA kama angelikuwa anafuata mafundisho angeshauri uchaguzi uwe wa haki pale Dodoma,asubiri kura za Mkapa na JK.
 
Safari hii hatuchagui MTU Bali mfumo. Ningemchagua Magufuli iwapo angekuwa Ukawa. Lakini kwa vile yuko kwenye mfumo mfu wa CCM pole zake!
 
Back
Top Bottom