Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli gwiji la lilitokomeza virusi vya Corona na kuushangaza ulimwengu; Oktoba 28 anastahili ushindi wa kishindo

Corona ipo haijaondoka ila nakubaliana na wewe imetumika kisiasa zaidi na wamekuza mambo na kutisha watu ila corona ipo, uzuri sisi population kubwa ni vijana, na kuna watu mpaka leo wakipima ndio utasikia labda anaambiwa positive, hata yeye anashangaa niko fresh ana jitenga hapati dalili zozote baada ya muda anapima negative. Sasa wa namna hiyo ni wengi sana, tumepata au tunapata na inaisha bila hata kujijuwa. Magufuli alichosaidia kuondoa ile hofu kama kiongozi lakini ndio dunia ilitakiwa hivyo, ila media zimekalia masaa 24 corona alfu moja wanakufa kila siku maambukizi alfu 10 muhimu kuwatisha watu tu. Wazee hatari kwako maskini wazee hofu ikawaingia wakafariki wengi tu. sidharau corona kama sidharau malaria ila asilimia kubwa wameuliza na hizi media za dunia. huko USA kwa kuwa media hazimpendi huyu mzee basi wanatumia karata ya corona kuonesha watu wasingekufa kama Trump angefanya hivi... zote ni siasa baada ya uchaguzi hutasikia tena. mimi nikiona habari wanaongelea corona tu nabadili.
 
Trump mwenyewe yupo fresh
 
KWANI UKIENDA HOSPITALI UKATIBIWA UKAPONA, UNAHAMIA HAPO HOSPITALI..? KAMA CORONA IMEISHA BASI TUTAMTAFUTA TENA ITAKAPORUDI....
 
ALIYETENGENEZA DAWA YA MALARIA NAYE AJE AOMBE KURA AU.......
 
Ulizia madaktari ndo wanajua Siri na sio mwanasiasa anaetafuta kura kushibisha tumbo lake. Usiache kutoendelea kuchukua taadhari
 
Naam kwangu kura ya NDIYO na familia yangu kwa mheshimiwa JPM
 
Alex Fredrick ,umesahau kutuzungumzia wanamichezo tunavyojaa uwanjani kucheki Simba na Yanga wanavyokiamsha.Akati Ulaya fainali ya UEFA uwanja ulikuwa hauna mashabiki kabisa mpaka mpira unakosa rahaa.
 
Mleta mada kwa heshima na taadhima na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ikikupendeza niupe uwezo wako wa kufikiri chini sana ya mediocre.
 
Walaji wa rambirambi hawana nafasi !🤣🤣🤣🤣
 
Akili zako zinakutosha mwenyewe. Kakojoe ulale.
 
Huu ujinga ndio munao mwaminisha mzee wa watu kwa ajili ya kulinda ugali wenu shame on you kura yangu inaenda na lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…