Dkt. Magufuli apata wadhamini Mtwara

Kimya kimya hadi kieleweke! Dr. Magufuli ndiye atapeperusha bendera ya CCM dhidi ya wagombea toka vyama vya upinzania. Dr. Magufuli anakubalika na amefuata masharti ya chama wakati wa kutafuta wadhamini. Hapigi kampeni na wala hana ilani yake mfukoni na wala hajifanyi maarufu kuliko chama. Anasubiri ilani ya chama ili aitumie.
 

Sifa nyingine kubwa hana siasa za kuchafuana!
 
Dr.Magufuli anauzika kwa Wananchi hauziki Cc, Halmashauri kuu wala Mkutano mkuu kwa kuwa huko inatazamwa Fedha ya Mgombea sio Wasifu wa Mgombea!!
 
kwa mtwara hiyo ni familia moja kazi anayo.
 
kwa mtwara hiyo ni familia moja kazi anayo.

Kwa taarifa tu, anachokifanya ni kama kampuni ya Apple alivyoisimamia Steve Job na ikajulikana "highly - secretive company" mwisho wa siku ni kampuni inayoongoza/successful kwa tech duniani!

Also refer to your avatar!!!!
 
Nllipenda nimwone na Edward Lowassa akisaini fomu kama anavyoonekana Magufuli.
 
Magufuli ni kiongozi mahiri sana anasifa zote za kuwa kiongozi.
 
Mungu inusuru Tanzania na watanzania,tupe MAGUFULI Kuwa rais wetu tunampena tunamuitaji,ana kila sifa ya rais taifa linamtaka kwa ss,tutapata
1,baraza LA mawaziri makini,
2,viongozi wachapa kazi sio wachora duri
3,mwisho wa rushwa
4,kiongozi anaejiamini Kuwait anaweza kuongoza,sio kuongozwa na marafiki
 
amepata au amewanunua,kila Mgombea anatoa fedha,makongoro katoa elfu20,wenye kadi wamepata neema kipindi hiki
 

Naunga mkono hoja!
 
Songa mbele kamanda!
Dr. Magufuli amejipambanua kuwa tofauti na wenzake. Hivi Waziri kwenye serikali iliyopo madarakani unasimama na kuanza kulalamika! Unalalamika nini dhidi ya serikali ambayo wewe unaketi kwenye barazala mawaziri. Dr. Magufuli anasubiri ilani ili aitendee haki.
 

Nimejifunza mengi katika hili, papala mbaya sana Magufuli kalikwepa hilo!
 

Mzee wa kimya kimya !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…