Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

Anajulikana Kama changamsha genge ukipenda mwite mzee wa nje ya box..

Unakuta kijijini nzega Kuna uhaba wa madawati yaan wanafunzi wanakaa chini na wanakijiji wake wanachangia maji na mifugo very shame..
Hili alilolisema kuhusu Mbowe na maelezo yakoo kuhusu Kijijini kwao yanashabihiana vipi?
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Sasa bwana kigwangala vipi? Wewe ni ccm au chadema?
 
😆😆😆😆😆 Yaani Mbowe aanzishe Saccos yake afu useme amuachie mtu wa kuja kutoka huko Nccr Lisu?
Kwan Chadema imeanzishwa na Mbowea? Huyo unayesema kaachia madaraka kwenye chama kichanga hv unamjua vzr ?. Kaangalia upepo anacheza na gap kawauzia waZanzibar chama alipoona hawataki Muungano kachomoka atasimamaje jukwaani awaunge mkono kwamba Muungano hawataki na yeye c wa Zanzibar na chama kimekuwa na nguvu huko Kwa ajili ya Seif kwani hili c hata mm wa std vii nimeweza kifikiri? Kigwa tulia kama unaijua kuachiana madaraka usigombee 2025 wallah ujue we kidume.
 
Sawa alifanya ujinga, je inahalalisha Mbowe kuongoza chadema bila kikomo!?,nimeanza kuhisi Mbowe analipa vijana na wazee mitandaoni kupinga na kutukana kila anayehoji uenyekiti wake kufika mwisho. Angalia hii thread mlivyomvamia Kigwangala personally. Hakuna anayeelezea Mbowe kuachia uenyekiti. 2022 Mbowe alitamka mwenyewe mwaka Jana 2023 ndo mwisho wake kuwa mwenyekiti. Hadi Leo May 2024 anapambana kuendelea kuwa mwenyekiti.
Pilipili usiyoila inakuwashia nin?,dili na ccm yenu huku tuachie sisi wanachama,tumeamua sisi aendelee kuwa mwenyekiti wa CHADEMA
 
Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.
Huu ndio ukweli ambao chadema wanajaribu kuupindisha.
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nin?,dili na ccm yenu huku tuachie sisi wanachama,tumeamua sisi aendelee kuwa mwenyekiti wa CHADEMA
Kwahiyo kwa akili yako kila mtanzania lazima awe chadema au ccm?!?,asiye na chama haruhusiwi kutoa maoni kuhusu chadema au ccm!?,mnazidi kuonyesha kuwa mmemwagwa mtandaoni kutetea uenyekiti wa Mbowe kwa gharama zozote. Chama Cha demokrasia kisichotaka watu watoe maoni kuhusu ukomo wa cheo Cha mwenyekiti wa chama. Acha ccm iendelee kuwaburuza tu kwa akili hizi.
 
Kama nilivyomjibu Kamanda Allen Kilewella hapo juu, CHADEMA mnatakiwa mjenge utambulisho wenu ili kujitofautisha na ccm. Mnapoanza kujilinganisha na ccm, mnapoteza ule utofauti na wao.

Na badala yake wananchi watawaona wote ni wale wale tu.
Ukijua Kwanin Vladimir Putin na Benjamin Netanyahu wameendelea kuongoza nchi zao kila baada ya kipindi vyao vya uongozi kupita?,ukipata jibu hapo basi ndio sababu hio hio inamfanya Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa CHADEMA
 
Kwahiyo kwa akili yako kila mtanzania lazima awe chadema au ccm?!?,asiye na chama haruhusiwi kutoa maoni kuhusu chadema au ccm!?,mnazidi kuonyesha kuwa mmemwagwa mtandaoni kutetea uenyekiti wa Mbowe kwa gharama zozote. Chama Cha demokrasia kisichotaka watu watoe maoni kuhusu ukomo wa cheo Cha mwenyekiti wa chama. Acha ccm iendelee kuwaburuza tu kwa akili hizi.
Unaandika haya ukiwa umekalia kigogo kwa wap?🤧🚮
 
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe

Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema

Anasema ACT wazalendo ni Chama kidogo lakini tayari Kiongozi mkuu amestaafu baada ya mihula miwili lakini Chadema Mwenyekiti ni yule yule

Zitto alijaribu kugombea Uenyekiti lakini Mbowe akamfukuza uanachama, sasa kaka yangu Tundu Lisu naye ajiangalie huyu Mwenyekiti aitwe Kabaka Mbowe au Ayatollah Mbowe, amesema Daktari Bingwa Kigwangalla.

View attachment 2995118
Hawezi kuachia uenyekiti kwa matakwa ya wana CCM ,
 
Unaandika haya ukiwa umekalia kigogo kwa wap?🤧🚮
Mwisho wa siku umeonyesha akili yako ilivyojaa mavi na funza kichwani. Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue ndo mwisho wake wa kufikiri. Haya endelea kumpikia Mbowe. Ila uenyekiti wake upo mwishoni, amini usiamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom