Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,032
- 132,786
Si wengi wanajua hata burials zinalindwa na the right to privacy ndio maana kuna families wanazika kwa private burialHivi hawa watu wanaolazimisha rais awepo msibani wanajua hata Profesa Philemon Sarungi mwenyewe alitaka azikwe vipi?
Wanajua familia yake inataka azikwe vipi?
Au watu wanashoboka tu kuipangia familia?
Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, kaenda msibani, kapewa maneno yake na mjane wa Profesa Sarungi, kaambiwa hamkuonekana Profesa alivyokuwa anaumwa hata siku moja, leo amefariki mmekuja kufuata nini hapa?
Wasira akatoka nduki.
Sasa wanaolazimisha rais awepo wanajuaje kuwa Profesa Sarungi alitaka rais awepo?
Au watu wanalazimisha wanavyotaka wao tu bila hata kuangalia familia inataka nini?
Tumwache apumzike ?Unawasema watoto wake k
Yani badala ya kumuacha apumzike kwa amani
Unaona sasa.Si wengi wanajua hata burials zinalindwa na the right to privacy ndio maana kuna families wanazika kwa private burial
P
Mkuu,Tumwache apumzike ?
Na Nyerere nae tumwache apumzike !!!!!!
Sarungi is dead and buried.
Tumwache apumzike kwani katoka kubeba magunia Tandale Sokoni ???
Mwanzo ulisema nini tena, tuwaache waomboleze ??
Ndio yale yale ya tusiingilie mahakama! Tunawazuiaje ???
Marehemu aachwe apumzike kwa amani !! Kwani huko aliko marehemu kuna uvunjifu wa amani ????
Mtu akichemka wazungu wana msemo "ametaga mayai." Bro, you are laying eggs today. Tighten up!
Maria Sarungi and her immigrant siblings made a blunderous mistake. Heritage and tradition of family life across African societies demand that you come home to the fatherland and bury your parent. Foodless peasant or prominent Othorpaedic, you bury him. With dignity and solemnity they deserve.
You don't have papers in Australia or Hungary, okay, we get that, what about Maria in Nairobi ?
Philemon Sarungi must have died a lonely, childless, man.
Kiukweli tukubali tukatae, wenzetu Waarabu ni wastaarabu sana kwenye misiba, nimekaa Dubai, mtu akifa kabla jua halijachomoza, anazikwa kabla halijazama, na akifa mchana, anazikwa kabla halijachomoza, hivyo watu wanazika usiku.Unaona sasa.
Tuna ombwe kubwa sana la werevu
Lwaitama naye kakosea
Mwalimu, dr mzee ambaye hakua hata associate prof
Where have you explained? What have you explained?
Do you even know what explaining is?
You made a logical fallacy.
The logical fallacy is called argument from tradition.
Now, you are trying to brute force that I made a contradiction.
A contradiction that you cannot show, cannot explain.
Si wengi wanajua hata burials zinalindwa na the right to privacy ndio maana kuna families wanazika kwa private burial
Je inaleta maana kuzungukia msiba wa mtu ambaye hukuwahi kumfahamu au kujua anapoishi kipindi chote cha uhai wake? Utakuwa unaomboleza nini? Tuelimike na kustarabika kama wa magharibi. Mbona waafrika wameiga mengi sana kutoka kwao,tena ya kipuuzi tu.Ndugu Individualism ni utamaduni wa kimagharibi huo, mmagharibi anajitenga na mwingine (wanasema "is not my business"). Tangu awali mwafrika anaishi communal life. Mwafrika anajiona yeye ndani ya mwingine, hajitenganishi na mwenzake ndio mana hata familia zetu nyingi ni extended. Anaona hajakamilika nje ya jamii yake. That is an African way of thinking sio mihemuko.
Msiba ni haki ya jamii nzima Kwa Afrika hasa mbantu. Mengine sisi ndio tunaiga hayo mambo ya individualism yanayotutenga na wenzetu, si utamaduni wetu.
Huko si kustaarabika, human is social being by nature(wenzetu wameipoteza hii tunu mwishowe wanahamisha kwa wanyama). Individualism imeathiri Kwa kiwango kikubwa utu na ukaribu wa watu. Upweke ni mkubwa sana kiasi mpaka mtu kuwapa mbwa personality ya mwanadamu ili apate faraja maana kila mtu anajijua mwenyewe hata wazazi Kwa watoto.Je inaleta maana kuzungukia msiba wa mtu ambaye hukuwahi kumfahamu au kujua anapoishi kipindi chote cha uhai wake? Utakuwa unaomboleza nini? Tuelimike na kustarabika kama wa magharibi. Mbona waafrika wameiga mengi sana kutoka kwao,tena ya kipuuzi tu.
Kwani wapi nimekataa kuwa kama marehemu ni mwanajeshi, jamii ya jeshi ina haki naye?You can't abstract the substance of my argument you only take accidentals.
The issue is social, cultural and traditional also, yet I have not simply appealed to historical practices nimekupa na logical explanation kwanini msiba kwanza unagusa familia kama sehemu ya jamii na jamii yote kwa ujumla. (Social justice). Kama Marehemu ni mwanajeshi jamii ya jeshi Ina haki naye nasi familia pekee nk..
You can't even recognize the contradiction of two sides emerged that impedes inferring conclusion/agreement. Thus I ask you to go back to your logic class.
Mkuu hakuna tunu yoyote hapo ya kujumuika mtu akifa au harusi. Tungejumuika kumchangia mtu aliyekosa hela ya matibabu na kuunga foleni ya kumjulia hali hospital ningekubaliana na wewe. Inatia aibu siku hizi misiba imekuwa ni vijiwe vya umbeya.TubadilikeHuo
Huko si kustaarabika, human is social being by nature(wenzetu wameipoteza hii tunu mwishowe wanahamisha kwa wanyama). Individualism imeathiri Kwa kiwango kikubwa utu na ukaribu wa watu. Upweke ni mkubwa sana kiasi mpaka mtu kuwapa mbwa personality ya mwanadamu ili apate faraja maana kila mtu anajijua mwenyewe hata wazazi Kwa watoto.
Maisha ya jumuiya ni tunu Afrika ambayo magharibi wameipoteza na si barbaric life kama unavyodhani.