BaabKubwa Magazine
Member
- Aug 6, 2014
- 7
- 3
Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publisher Limited kwa mwaka wa tatu mfululizo limefanyika siku ya jana ndani Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuwavutia watu wengi kutokana na burudani mbalimbali zilizotolewa uwanjani hapo.
Hakika Watanzania wanapenda nchi yao na ni Wazalendo halisi kutokana na kuitikia wito wa jana wa Tamasha la Matumaini lililofanyika jana Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Katika sherehe hiyo aliongoza mgeni rasmi Makamu wa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Galib Bilal na baadhi ya viongozi walioambatana nao pamoja na mwenyeji au muandaaji wa shughuli yenyewe Eric Shigongo.
Matamasha la Matumaini limerudisha tena umoja na amani kama ulivyokuwepo hapo awali kwa raia kupendana na kusaidiana bila kujali udini wala kisiasa.