JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 213
- 226
Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi.
Ni muhimu kuthibitisha kila Taarifa unayokutana nayo kwani ndiyo silaha muhimu itakayomuwezesha kila mmoja kupambana dhidi ya Taarifa Potoshi.
Ni muhimu kuthibitisha kila Taarifa unayokutana nayo kwani ndiyo silaha muhimu itakayomuwezesha kila mmoja kupambana dhidi ya Taarifa Potoshi.