mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,410
- 4,988
''Kwenye tukio ambalo halikutarajiwa na wengi, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, alisitisha hotuba yake ili kutoa heshima stahiki kwa askari aliyemtolea amri wakati wa kumuongoza kwenye gwaride.''
Hapa nina maswali ambayo ningependa kujibiwa na wanajukwaa
Hapa nina maswali ambayo ningependa kujibiwa na wanajukwaa
- Je, zawadi hiyo ilikuwa na nia ya kushawishi maamuzi ya kisiasa au kupendelewa kisiasa?
- Je, kuna ushahidi au viashiria vyovyote vinavyoonyesha kuwa kitendo hicho kilikuwa na lengo la kununua uungwaji mkono wa kisiasa?
- Je, ni utaratibu wa kawaida kwa viongozi kutoa heshima kama hiyo au kulikuwa na kitu cha kipekee katika tukio hilo?