Halafu huyu DR Mgimwa Kiswahili kajifunzia ukubwani eenh? Je alikuwa bushi muda mrefu akawa anaongea kilugha tu au kaishi nje muda mrefu mpaka akasahau kiswahili? Yaani akiwa anaongea yataka umakini mkubwa sana kumuelewa anachomaanisha.
Duuuh!! Huyu Dr. Slaa anawasumbua sana ktk maisha yenu. Maana kuna baadhi ya watu, hasa wewe CHILISOSI, hawawezi kujadili jambo lolote bila kumtaja Dr. Slaa.