samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 217
Hana Phd,wamembambika tu.
Kwanza hana first degree!
Tatizo lako KopaSalfeti ni kukariri mambo kwamba tukio fulani lazima lifuate sequence unazozijua wewe.Kuna wasomi kibao hawana first degree utashangaa wana Phd.Mfano mtu anaweza kuwa na CPA,ACCA,CSP,CMA au Advanced Diploma,Post Graduate Diploma utamsubiri sana kwenye hiyo first degree yako uliyoikariri.
Baba mwana....sh yeye anayo ya nini?Mgimwa ni msomi na anatambulika cv yake dunia nzima, sio kama Dr ana degree ya kusali
TUWEKEENI hotuba yake hapa jamani
Mgimwa ni msomi na anatambulika cv yake dunia nzima, sio kama Dr ana degree ya kusali

Mkuu hapo umenitukana na mimiAna PhD ya kiswahili cha kuongea. ( inji, kambuni, inji etc.)
Kama kawaida,hamkosi kumtaja huyo mwingine!kafikaje hapa.