Dk. Ulimboka: Niko fit!

Je kawakumbuka Watz aliowasababishia wakapoteza maisha. Nafsi yake inamsuta. Mungu Ni wa wote sio aw ulimboka tu
 
Nilivyomwona kwenye picha haonyeshi hata chembe ya kujiamini
 
Nilivyomwona kwenye picha haonyeshi hata chembe ya kujiamini
we unafikiri alipata kipigo tu huko msituni? Alifanyiwa na mengine mabaya zaidi. Hukumbuki jamaa walimuokota hana nguo.
 
Je kawakumbuka Watz aliowasababishia wakapoteza maisha. Nafsi yake inamsuta. Mungu Ni wa wote sio aw ulimboka tu

Walitoa Idadi ya watu waliopoteza Maisha kwa Mgomo wa Madaktari?
 
majebere tatizo la kuwa kambwa koko ka mafisadi wakati hata mam yako na dadazako wanabakwa na system ya ccm unachekelea
 
Hapa hupaswi kumlaumu Ulimboka na madaktari wenzake ilaumu serikali yako ya Bwana Dhaifu bingwa wa kuhudhuria misiba na kutembeza bakuli kwa makuwadi wa ushoga!

....Pia bingwa wa kuhudhuria mikutano ya uzazi wa mpango !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…