Dk. Tulia asota Dodoma

Ukiona mtaani kuna mtu anajiita Mesi mchunguze utagundua ni bwege tu, sijui hili la maji mafupi.
 
Wamng'oe tu hana maana.
Kama mnaweza kumtoa Mbowe uenyekiti Mh. Tulia atang'oka lakini kama hamuwezi ndio kabisaaa huyo mama hatoki. Kwa lipi mtakaloweza kumtoa? Hata kura zenu hazitoshi. Nyumbu wakuu wanawageuza kama samaki anavyokaangwa. Hatoki mtu hapo
 
vipi posho wanachukua? au nazo wamesusa
 
Ukawa ni wasanii tu,huyo Tulia ndie anaeidhinisha posho iingie kwenye akaunti zao mbona hawazigomei?
Watasusa weee Tulia ndio spika japo walau kwa sasa,ninachoona wanampa kiki tu za kisiasa
Tunagomea anachokandamiza
 
Reactions: BAK
Kama mnaweza kumtoa Mbowe uenyekiti Mh. Tulia atang'oka lakini kama hamuwezi ndio kabisaaa huyo mama hatoki. Kwa lipi mtakaloweza kumtoa? Hata kura zenu hazitoshi. Nyumbu wakuu wanawageuza kama samaki anavyokaangwa. Hatoki mtu hapo
Ndio mlivyoambiwa na mganga wenu maji mafupui?
 
slaa alikuwa ccm padre muasi wa kanisa katoliki
 
Ukawa ni wasanii tu,huyo Tulia ndie anaeidhinisha posho iingie kwenye akaunti zao mbona hawazigomei?
Watasusa weee Tulia ndio spika japo walau kwa sasa,ninachoona wanampa kiki tu za kisiasa
Posho ni haki yao ya msingi acha wivu mkuu, wasusie posho kwa sababu gani?Posho ni kodi yako mzee, posho sio hisani ya Bunge
 
Katika maelezo yako na hii hafla naibu spika amehusika vipi, au ni usingizi wa mchana?
 
Tulia amekuwa mwanamke jasiri sana, amewashinda wabunge wote wa ukawa ktk ustahimilivu namna hii kila siku wamkimbie? Huyu dada kweli mwanamke wa shoka!
 
Huu mgomo dhidi ya naibu spika utapita kimya kimya Na maisha yataendelea kama yalivyokuwa.!

Tunajua mmeshakula haramu nyingi ,tunajua litapita lakini halitapita hivi hivi
 
Jamani hiyo sukari itashuka lini? si nililisikia serikali imeagiza nje vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…