Dk. Tulia asota Dodoma

WATOKE TU! hakuna linaloharibika.... na POSHO wasipewe pia...
 
Tushazoea tabia yenu ya kususa susa hamjaanza leo........ni kama maigizo vile hakuna jipya........mkimaliza hili anzeni igizo jingine.
 
Itabidi uchaguzi ujao DR.TULIA @ agombee awe hta running mate wa DR.MAGU...UKAWA WASUSIE TENA GEneraL ilekshen
...#nafikiriKWAsauti.
 
Lazima watanyooka tu, wamefungiwa nje lazima warudi ndani...! Wakiingia ndani wanamkuta Tulia Katulia kitini..! Nashauri vikao vyote nyeti viongozwe na Tulia.
Mpaka kieleweke.....dk tulie akawe private secretary wa baba Jesi
 
Mtoto Mbunge=Antony Peter Mavunde.
Baba Mshehereshaji=Peter Mavunde.
Raha sana Tanzania.
 
Lazima watanyooka tu, wamefungiwa nje lazima warudi ndani...! Wakiingia ndani wanamkuta Tulia Katulia kitini..! Nashauri vikao vyote nyeti viongozwe na Tulia.
Sawa kabisa. Kumtoa Mh. Tulia hapo sawa na kumtoa Mbowe uenyekiti kwa kura. Haiwezekani haiwezekani.... Fankuuuro
 
UKAWA ni wasanii tu,huyo Tulia ndie anaeidhinisha posho iingie kwenye akaunti zao mbona hawazigomei?
Watasusa weee Tulia ndio spika japo walau kwa sasa,ninachoona wanampa kiki tu za kisiasa
 
Mzee Mavunde ni baba wa Antony Mavunde mbunge wa Dodoma mjini
 
Huu mgomo dhidi ya naibu spika utapita kimya kimya Na maisha yataendelea kama yalivyokuwa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…