dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,794
- 1,913
Wanaukumbi heshima kwenu, wengi wetu tunajua uwezo na heshima aliojijengea huyu mzee wetu Slaa katika kulipigania Taifa kutoka kwenye makucha ya wanyonyaji.
Pamoja na figisufigisu zote zilizotokea akiwa CHADEMA hadi kuamua kung'atuka ni muda sasa Mzee wetu kuendelea kuithibitisha nia yako ya dhati uliyokuwa nayo kwa watanzania, rudi nyumbani tuanzishe chama kipya cha siasa chenye malengo chanya ya kumkomboa mwananchi na Taifa kwa ujumla.
Kuanza upya sio dhambi, ninaamini kabisa toka uvungu wa moyo wangu bado unao wafuasi wa kutosha kuweza kusimamisha chama kipya na kiwe imara.
Nina imani pasi na shaka utalifanyia kazi hili wazo.