Anaongea kuhusu uhuru wa kuabudu, anasema yeye kwake huwa akitaka kuchinja anamtafuta muislamu anachinja. Mzee anaongea vizuri. Nitaendelea kuandika anayozungumza ila picha sitaweza kuleta natumain Xp music. Ila mzee ni mkali sana. Anaongea kwahasira.