Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.
Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete? KUMBE ULIGUNDUA UMETUMIA MASABURI KULETA HOJA YAKO HAPA NDO MAANA UNAOMBA USITUKANWE???
HII HAIHITAJI HATA AKILI YA DARASANI, MBONA HUKUMLAUNU JUZI ALIVYO OMBA WALIMU WASIWAADHIBU WANAFUNZI??
WEWE INAONEKANA NI MTOTO WA SHANGAZI NDO MAANA AKILI IMEDUMAA. DR, ANAHITAJI SIKU NCHI IKIWA CHINI YA HIMAYA YA CDM WAWEZE KUPANGA MAENDELEO YA KILA MTANZANIA NA SI KUPIGA RAMLI.
WAKE UP MAN?????? HUU NI MOTO WA GAS HAMNA JINSI WAVAA KIJANI HAWATAUNGUA
Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.
Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?
Karibuni ila tusitukanane jengen hoja
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM?
Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.
Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?
Karibuni ila tusitukanane jengen hoja
slaa ni kada wa CCM mzuri yupo upinzani kwa ajili ya kuyumbisha wapinzani, yupo kwa maslahi ya tumbo lake.
hautatukanwa bali utapewa somo. Sensa sio sera ya ccm bali ya Dunia. kwa kuwa cdm inajiandaa kushika Dola, ni vyema ikawa na takwimu angalau sahihi juu ya idadi ya watanzania ili iweze kufanya na kukadiria bajeti kwa mujibu wa takwimu hizo. kwa hiyo kwa vile jk anamsaidia Slaa kupata idadi ya watu, basi nae Slaa anamsaidia jk kuhamasisha kuhesabiwa, ok?Jana wakati npitia vyombo vya habari usiku nilishangzwa na kauli ya Dr Slaa kugeuka kuwa mpiga debe wa Jakaya Kikwete kwakuhamasisha wana igunga wajitokeze kuhesabiwa.
Swali
Kwanzia lini Slaa amekua mpiga debe wa CCM? au yupo kwenye Pay roll ya kikwete?
Karibuni ila tusitukanane jengen hoja
slaa ni kada wa CCM mzuri yupo upinzani kwa ajili ya kuyumbisha wapinzani, yupo kwa maslahi ya tumbo lake.
kitendo cha waislamu kugomea sensa ni rais wa tz ndiye wa kulaumiwa sababu sheikh ponda ni muumini mwenzake rais na anashindwa kuwachukulia hatua kama alivyofanya kwa mgomo wa madaktari na walimu huu ni uzembe na udhaifu wa kikkwete kama rais anaweka dini mbele kuliko taifa anaamini katika hilo ushahidi upo mwingi.na kama taifa hili litaingia kwenye vita ya kidini kiongozi atakayebeba mzogo huu ni jakaya kikwete.kama angelikuwa ni mchungaji mtikila kasema wakristo wasusie sensa basi manyang'au wa usalama wa taifa na polisi wangeshamuweka ndani mtikila sasa kikwete acha udini na ongoza taifa kwa misingi ya uongozi na si vinginevyo ubaguzi wa kidini utazikwa nao hata ukienda kaburini maan wewe ndie muanzilishi n​a unaendekeza.Huo ndio ukweli wasioujua baadhi ya watz kuwa magumu ya nchi hii yanasababiswa na ccm
Tuache utani walimu ni taa katika jamii nashangaa sasa wameamua kuwa giza!! Kama kweli ni taa basi waelewe adui wao ni nani na wamkabili siyo kuwamalizia watoto wasio na hatia hasira zao. Kwa kufanya hivyo wana tofauti gani na "magamba" ambayo hayajali jamii?
Nimekuelewa mzeehautatukanwa bali utapewa somo. Sensa sio sera ya ccm bali ya Dunia. kwa kuwa cdm inajiandaa kushika Dola, ni vyema ikawa na takwimu angalau sahihi juu ya idadi ya watanzania ili iweze kufanya na kukadiria bajeti kwa mujibu wa takwimu hizo. kwa hiyo kwa vile jk anamsaidia Slaa kupata idadi ya watu, basi nae Slaa anamsaidia jk kuhamasisha kuhesabiwa, ok?