M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,265 Reaction score 14,172 Jan 9, 2025 #1 Hii hapa Attachments Ggycde6XIAAlyyL.jpeg 138.6 KB · Views: 28
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,446 Jan 9, 2025 #2 Hivi vipeperushi vyenu vya kufungia mihogo nani anavisoma,yaani kugombea uenyekiti ndiyo uasi? Hivi hawajui ndiyo wanazidi kumharibia Mbowe? Kitendo cha CCM na serikali yake kumsapoti Mbowe moja kwa moja kinamuondolea sifa ya kuchaguliwa tena.
Hivi vipeperushi vyenu vya kufungia mihogo nani anavisoma,yaani kugombea uenyekiti ndiyo uasi? Hivi hawajui ndiyo wanazidi kumharibia Mbowe? Kitendo cha CCM na serikali yake kumsapoti Mbowe moja kwa moja kinamuondolea sifa ya kuchaguliwa tena.
Tareek Azeez JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,460 Reaction score 36,079 Jan 9, 2025 #3 Ndugu we bakiaga na Kina Netanyahu. Huku waachie wenyewe.
Bulelaa JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 1,341 Reaction score 3,257 Jan 9, 2025 #4 Ccm bhana! Hivi mnajua ccm kuwepo kwenu hapo juu ni kuwalazimisha wananchi?? Hampendwi afadhari ya Mbowe Mnakuja na vipeperushi vyenu vya kfungia mandazi kwa lengo la kumchafua anayetakiwa na si tu wanachadema, bali watanzania wengi Aibu kwenu
Ccm bhana! Hivi mnajua ccm kuwepo kwenu hapo juu ni kuwalazimisha wananchi?? Hampendwi afadhari ya Mbowe Mnakuja na vipeperushi vyenu vya kfungia mandazi kwa lengo la kumchafua anayetakiwa na si tu wanachadema, bali watanzania wengi Aibu kwenu
G Guy of gisbon JF-Expert Member Joined Apr 22, 2024 Posts 584 Reaction score 871 Jan 9, 2025 #5 Natamani slaa na lisu waungane
S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,405 Reaction score 3,554 Jan 9, 2025 #6 Guy of gisbon said: Natamani slaa na lisu waungane Click to expand... Dr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke?
Guy of gisbon said: Natamani slaa na lisu waungane Click to expand... Dr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,123 Jan 9, 2025 #7 Dr. Mihogo kashajichokea. CCM wamemtumia washamdamp sasa hivi anaweweseka pa kushika kisiasa. Lissu anajimaliza zaidi kishirikiana na huyu Dr. Mihogo.
Dr. Mihogo kashajichokea. CCM wamemtumia washamdamp sasa hivi anaweweseka pa kushika kisiasa. Lissu anajimaliza zaidi kishirikiana na huyu Dr. Mihogo.
S semtawa JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,267 Reaction score 1,258 Jan 9, 2025 #8 Malaria 2 said: Hii hapa Click to expand... Duh! Kumeanza kuchangamka kwa kasi
G Guy of gisbon JF-Expert Member Joined Apr 22, 2024 Posts 584 Reaction score 871 Jan 9, 2025 #9 stonecutter said: Dr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke? Click to expand... kabisa mkuu na mbowe alitufanya wajinga sana ila sasa barafu limeyeyuka ni ama aruhusu chadema iwe ya wanachama wote au ibaki ni ya kwake peke yake
stonecutter said: Dr Slaa hakuridhika na jinsi mbowe alivyokuwa akiongoza chama. Sema miaka ile utasema nini juu ya mbowe na ueleweke? Click to expand... kabisa mkuu na mbowe alitufanya wajinga sana ila sasa barafu limeyeyuka ni ama aruhusu chadema iwe ya wanachama wote au ibaki ni ya kwake peke yake