JAMII-ASM JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,305 Reaction score 524 Oct 20, 2015 #21 lancanshire said: Na huyu mwenye kampuni hii ya uwakili leo kajiunga rasmi na lowassa.teh teh teh Click to expand... Magufuli lazima aanze na huyu mama. Rex lazima washughulikiwe.
lancanshire said: Na huyu mwenye kampuni hii ya uwakili leo kajiunga rasmi na lowassa.teh teh teh Click to expand... Magufuli lazima aanze na huyu mama. Rex lazima washughulikiwe.
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,080 Reaction score 12,300 Oct 20, 2015 #22 Magamba yanazidi kupukutika lakini hayako salama tutayafuata hukohuko ukawa tuhakikishe yanafungwa kabisa.
Magamba yanazidi kupukutika lakini hayako salama tutayafuata hukohuko ukawa tuhakikishe yanafungwa kabisa.
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Nov 17, 2015 #23 rodrick alexander said: hawa ndio wanadai wanataka kuleta mabadiliko wakati wameifikisha nchi hii pabaya na chadema wanawafurahia Click to expand... Yaani hapo ndo CHADEMA nawaona si wazalendo kabisa. Ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
rodrick alexander said: hawa ndio wanadai wanataka kuleta mabadiliko wakati wameifikisha nchi hii pabaya na chadema wanawafurahia Click to expand... Yaani hapo ndo CHADEMA nawaona si wazalendo kabisa. Ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
A arigold JF-Expert Member Joined Jun 23, 2011 Posts 600 Reaction score 341 Nov 17, 2015 #24 Huyu na mwanaidi sinare wana u ndugu?
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,468 Nov 18, 2015 #25 arigold said: Huyu na mwanaidi sinare wana u ndugu? Click to expand... Wamepishana mwaka 1 nadhani!
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,110 Apr 2, 2016 #26 Hongera mama Dr.
J Jozi 1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 6,562 Reaction score 4,151 Apr 2, 2016 #27 arigold said: Huyu na mwanaidi sinare wana u ndugu? Click to expand... Super Handsome said: Wamepishana mwaka 1 nadhani! Click to expand... Na binti yake ndo kapandishwa kizimbani kisutu pamoja na harry kitilya.
arigold said: Huyu na mwanaidi sinare wana u ndugu? Click to expand... Super Handsome said: Wamepishana mwaka 1 nadhani! Click to expand... Na binti yake ndo kapandishwa kizimbani kisutu pamoja na harry kitilya.
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,080 Reaction score 12,300 Apr 2, 2016 #28 JAMII-ASM said: Magufuli lazima aanze na huyu mama. Rex lazima washughulikiwe. Click to expand... Tumeanza na binti, anafuata mama yake, baba shangazi mtu, Safari hii Tundu Lissu atapiga hela ndefu sana majizi yote yako nae huko.
JAMII-ASM said: Magufuli lazima aanze na huyu mama. Rex lazima washughulikiwe. Click to expand... Tumeanza na binti, anafuata mama yake, baba shangazi mtu, Safari hii Tundu Lissu atapiga hela ndefu sana majizi yote yako nae huko.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,034 Reaction score 132,450 Apr 2, 2016 #29 eddy said: Tumeanza na binti, anafuata mama yake, baba shangazi mtu, Safari hii Tundu Lissu atapiga hela ndefu sana majizi yote yako nae huko. Click to expand... Punguza roporopo binti!tunataka mkwer&co huo ndy jmbz no 1
eddy said: Tumeanza na binti, anafuata mama yake, baba shangazi mtu, Safari hii Tundu Lissu atapiga hela ndefu sana majizi yote yako nae huko. Click to expand... Punguza roporopo binti!tunataka mkwer&co huo ndy jmbz no 1
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,759 Reaction score 6,851 Apr 2, 2016 #30 Kila siku naanza kuelewa kwanini Serikali ilikuwa INASHINDWA KILA KESI
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,110 Apr 3, 2016 #31 Daah unganisha dots sinare -kitilya-loasa - sioi