chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Rais wa Zanzibar amekutana na waathirika wa ubaguzi wa tawila Kibiriti mkoa wa Kaskazini Pemba ambapo tawi la CCM limechomwa moto na nyumba za wana CCM kuharibiwa na kuwaasa wasilipize kisasi bali wawaripoti polisi wowote watakaofanya vitendo vya kibaguzi
Ameagiza vyombo vya dola kuwafutia leseni wafanyabiashara watakao bainika kuwabagua
Ameagiza vyombo vya dola kuwafutia leseni wafanyabiashara watakao bainika kuwabagua