Dk. Robert Ntakamulenga wa NEMC afariki dunia

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa NEMC,Dk Robert Ntakamulenga (aliyesimama katika picha) amefariki dunia leo. Habari za kuaminika toka kwa ndugu jamaa na marafiki zimebainisha hili.

Dr. Ntakamulenga alikuwa miongoni mwa watumishi wachahce sana katika Serikali hii ambao walidhubutu kusimamia kwa dhati Sheria ya Mazingira Na. 20 ya 2004 akiwa na wadhifa wa Ukurugenzi.
Miongoni mwa kazi ambazo zitakumbukwa kuzisimamiwa ni pamoja na:

1. Bomboa bomoa ya nyumba za kifahari za vigogo zilizojengwa kando ya Mito ya Mbezi Beach, Mndumbwe na eneo la Hifadhi ya Mikoko, Dar es Salaam ikwiemo hekalu lililodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare

2.Kuwadhibiti wamiliki wa Viwanda ikiwemo kiwanda cha Karibu Textile cha Mbagala jijini Dar es salaam ili kuhakikisha wanafunga mitambo maalum yakusafisha maji taka yatokanayo na bidhaa wanazozitengeneza hasa zinazotumia rangi kabla ya kuyamwaga katika mifumo ya maji machafu ili kupunguza athari za uharibu wa mazingira.

3.Kufunga kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda Morogoro kwa kukiuka sharia ya Mazingira;

attachment.php

MWENYE ENZI MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE..AMINA!!.
 
Attachments

  • Ntakamulenga.jpg
    Ntakamulenga.jpg
    23.6 KB · Views: 4,138

Poleni sana Wafiwa. RIP Dr. Mimi nakumbuka aliposhindwa "kuja na jibu sahihi" la madhara yaliyosababishwa na uharibifu wa mazingira uliofanywa na kampuni ya uchimbaji huko Buzwagi. Kwa hili wananchi "walim-beat" kwa kuoanisha madhara walioyapata na mifugo iliodhurika. Sometimes usomi si lolote.
 
Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa NEMC,Dk Robert Ntakamulenga (aliyesimama katika picha) amefariki dunia leo. Habari za kuaminika toka kwa ndugu jamaa na marafiki zimebainisha hili.

Dr. Ntakamulenga alikuwa miongoni mwa watumishi wachahce sana katika Serikali hii ambao walidhubutu kusimamia kwa dhati Sheria ya Mazingira Na. 20 ya 2004 akiwa na wadhifa wa Ukurugenzi.
Miongoni mwa kazi ambazo zitakumbukwa kuzisimamiwa ni pamoja na:

1. Bomboa bomoa ya nyumba za kifahari za vigogo zilizojengwa kando ya Mito ya Mbezi Beach, Mndumbwe na eneo la Hifadhi ya Mikoko, Dar es Salaam ikwiemo hekalu lililodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare

2.Kuwadhibiti wamiliki wa Viwanda ikiwemo kiwanda cha Karibu Textile cha Mbagala jijini Dar es salaam ili kuhakikisha wanafunga mitambo maalum yakusafisha maji taka yatokanayo na bidhaa wanazozitengeneza hasa zinazotumia rangi kabla ya kuyamwaga katika mifumo ya maji machafu ili kupunguza athari za uharibu wa mazingira.

3.Kufunga kiwanda cha nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda Morogoro kwa kukiuka sharia ya Mazingira;

attachment.php

MWENYE ENZI MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE..AMINA!!.

Natamani na mimi kufa sasa.
 
Loh masikini
Injinia wa mazingira amefariki?
Mungu ameweke mahali pema peponi.
Nakumhuka miaka mitatu iliyopita alikija suluhisha ugomvi mkubwa wa majirani, Mbezi Beach,kwani mwanajeshi mmoja mshirikina alikuwa akiblock maji ya mto akishirikiana na mama mmoja wa kihaya,kumbe wamefukia tunguli mtoni.
Dr Robert alitumia busara sana akishirikiana na ITV kutatua tatizo hilo.
Namkubuka sana
Kweli wema hawana maisha.
 
Alishindwa kuwasaidia wananchi wa Same katika Hifadhi ya Mlima Shengena.

Kuna mwekezaji wa Kampuni ya Willy Enterprises inachimba udongo wa bauxite.......kando kando ya vyanzo vya maji.
 
Church mate....Mungu ailaze roho yako pema peponi
 
Mungu amlaze mahala pema. Mm nabaki na tatizo la kiwanda cha sabini ubungoexternal kinachoendelea kuumiza wakazi wa tabata. ubungo na mabibo.
 
Kitu gani kimesababisha?
Alikuwa akifanya mazoezi?
Alikuwa na marefu ya kipindi kirefu?
Au ghafla?
ni mywaji?
Anakunywa kijiwe kipi? na kina nani?
 
Alishindwa kuwasaidia wananchi wa Same katika Hifadhi ya Mlima Shengena.

Kuna mwekezaji wa Kampuni ya Willy Enterprises inachimba udongo wa bauxite.......kando kando ya vyanzo vya maji.

Dotto huwezi kuweza yote, tunaangalia ratio ya aliyoweza na aliyoshindwa.

Je wewe unaweza yote? Tumwombee apumzike kwa amani.
 
Nimesikitika sana...Pumzika kwa Amani Dr.Robert.
 
Dotto huwezi kuweza yote, tunaangalia ratio ya aliyoweza na aliyoshindwa.

Je wewe unaweza yote? Tumwombee apumzike kwa amani.

Ni kweli na me nimetoa maoni yangu tu sio kwamba napingana na wengi wa wanajamvi hapa, Bwana aipe faraja familia ya marehemu.
 
Kitu gani kimesababisha?
Alikuwa akifanya mazoezi?
Alikuwa na marefu ya kipindi kirefu?
Au ghafla?
ni mywaji?
Anakunywa kijiwe kipi? na kina nani?

Amekufa..alikuwa anakunywa, alikuwa anywi, hilo sio la msingi sasa..tumuombee Mungu amjalie pumziko.
 
Huyu bwana alikua Mtaalamu aliyebobea sana...kwa kiwango cha kimataifa...ni msomi wa kweli kweli...ni masikitiko makubwa kwa Nemc na Taifa kupoteza mtu mwerevu kama huyu....nchi imepoteza mtaalamu wa kweli hasa....lala kwa amani dr robert
 
Pole familia nzima na taifa kwa ujumla.
Amefariki kwa nini? Alikuwa anaumwa ama ndio amekufa ghafla maana nchi hii kila kitu ni kimtego mtego tu
 
Back
Top Bottom