kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,703
- 11,288
Kumbe wewe sio kipofu tu, pia nikiziwi
Huyu ndie mungu wangu
MUNGU ALIYEUFANYA ULIMWENGU NA VITU VYOTE VILIVYOMO, YEYE KWA KUWA NI BWANA WA MBINGU NA NCHI, HAKAI KATIKA HEKALU ZILIZOJENGWA KWA MIKON0;
WALA HATUMIKIWI KWA MIKONO YA WANADAMU KANA KWAMBA ANAITAJI KITU CHOCHOTE; KWA MAANA NDIYE ANAYEWAPA WOTE UZIMA NA PUMZI NA VITU VYOTE.
na mimi Mungu huyo MKUU namkubali na nasema kwa sauti kuu!
HALELUYAH!!
lkn swali liko palepale!
Kama wewe unasema mungu wako hafanywi kwa mikono!
Yale masanamu yaliomo ndani ya hizo hekalu na picha za yule mzungu mwenye manywele mengiii ni ya nani??
Na vile vilozari mnavyo vivaa shingoni ni vya nani??