Dk Mwakyembe arejea nchini

Cjalkuelewa

wabongo our line of thinking is becoming questionable ila tunashukuru mwakiembe karudi salama
Swali je kabla ya ccm kudaka agenda ya cdm ya kupinga ufisadi ina maana viongozi hakuwa wanaugua kama ilivyo kawaida kwa binadamu kuugua?
 
Karibu nyumbani na kamwe husivunjike moyo katika vita hii kali zidi ya mafisadi
 
Hivi hamna aliyebahatika kuipata picha yake alipotinga jijini ili tujionee yaliyosemwa uongo na ukweli wake
 


...ndugu zanguni, nashukuru MUNGU kama kweli Kamaradi Dr Harrison Mwakyembe amerudi akiwa na afya njema!! Mimi mtanisamehe, kwani utambuzi wangu wa ziada (sixth sensory ability) unaniambia hali si njema kama inavyosemekana. Niko pessissmitic kwa sababu kubwa mbili:
1. Kama hali yake ni njema, kwa nini madaktari wake kule India waliamua kukaa kikao kizito cha maamuzi ya kumruhusu kuondoka au la;
2. Kwa hulka ya Mpambanaji huyu, yeye ni kipenzi cha vyombo vya habari na anapenda na yeye mwenyewe akiwa pia mwandishi wa habari ana-enjoy kuongea na vyombo vya habari kwa kwenda mbele. Kitu gani kilimfanya asionekane hata kidogo kwa waandishi? (japo hata picha tu kama kuongea alikua hawezi!).

Labda ni wasiwasi wangu tu lakini....mnhh!
 
Duh! Mungu Mkubwa jamaani. Kweli Mungu hujibu maombi ya waja wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…