Dk Kafumu akata rufaa Igunga

Dk Kafumu akata rufaa Igunga

Hivi Haya Mauchaguzi mbona Hayaitishwi fasta?

Tunahamu ya Kuchukua Majimbo yetu ya Igunga na Lile la Kule Sumbawanga..

Viva CDM
 
Nilimsikiliza Dr. Kafumu last week kwenye TBC na akaeleza kwamba yeye ni mtaalam wa masuala ya nishati na ameandika kitabu ambacho kitatoa fursa kwa jamii kuelewa masuala ya gesi na mafuta.

Kwa jinsi alivyokuwa anaongea, ni dhahiri hakuwa tayari kurudi kwenye siasa, bali CCM inamlazimisha tu kama kumpa comfort baada ya kumuingiza mkenge!
 
Huyu kafumu daktari mzima amejiingiza kwenye maujinga ya CCM sasa anaaibika. Mimi mwenyewe nilikua Igunga wakati wa kampeni ni liko wazi kwamba wana igunga hawakukutaka hata kidogo, hata nyumba ulikua huna miaka yote hiyo ukaende kujenga harakaharaka nyumba mpaka wakati ule wa kiangazi ilikua haifikiki.Miaka yote umekua kibaraka wa Rostam huna moral authority ya kuwasemea wana Igunga, nyie ndio miaka yote mmekua mkiwanyonya wananchi wa igunga na kuwanyima haki ya kuwa huru, miaka 50 jimbo halina hata ATM? hivi umeona wapi hiyo, wananchi wamechoka kuliko wananchi wa mali na DRC nyie mkila kuku kwa pesa za epa na malipo ya wizi na ufisadi mkubwa kwa favor za kuwa kamishna wa madini, walikuuliza siku ile kwenye mdahalo, miaka yote ukiwa kamishna ulishindwaje kuwasaidia wana Igunga wakapata vibali vya uchimbaji mdogo mdogo utegemee eti leo ukienda bungeni? too late humuwezi kashindye wala yule bwana mdogo wa CUF shauri yako utamaliza hela zako kwa wanasheria uchwala kama wakina lamwai hivi ana nini siku hizi,wenzio siku hizi wanaenda na ma advocate wa digitally kina lisu, kimomongo, hata mzee safari kakushinda, angalia hizo hoja zako zilivyodhaifu huhitaji hata kuwa mwanasheria kuzi quash,
 
Back
Top Bottom